Kwanini Iphone zina tatizo kubwa la finger print failure?

mtz one

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2012
Posts
4,289
Reaction score
1,243
Wakuu niliinunua iphone 7 plus ikiwa mpya kabisa cha kushangaza imekufa sensor ya finger print! Nimepitia forums mbalimbali nimekutana na hayohayo!

Matangazo mengi ya simu za iphone 5-7 zinazouzwa ni the same story finger print failure! What is the problem with this phone?

Kwa gharama kubwa namna hii why apple wanatuangusha hivi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole mkuu!Binafsi mie sijakumbana na tatizo hilo!Jaribu kutembelea Apple dealer kama pale Mlimani city kwa ushauri mzuri ikishindikana tembelea kwa fundi wa Iphone pale China Plaza ghorofa ya 6(Kariakoo opp na Shule ya Benjamini )
 
Shukrani mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijawai kukutana na hilo tatizo, simu nilizoziona ni zile za wizi wanatoa finger print sensor.
 
Kama ulinunua dukani warudishie, zinazotolewa sensor ni wanaunga motherboard ya simu iliyoharibika,new housing na display mpya. Finger print Sensor inatakiwa iendane na motherboard.
Mkuu hii niliiinunua Dubai sidhani kama hapa wataweza nifanyia free.... ila ngoja nicheki na mafundi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu niliinunua iphone 7 plus ikiwa mpya kabisa cha kushangaza imekufa sensor ya finger print! Nimepitia forums mbalimbali nimekutana na hayohayo!

Matangazo mengi ya simu za iphone 5-7 zinazouzwa ni the same story finger print failure! What is the problem with this phone?

Kwa gharama kubwa namna hii why apple wanatuangusha hivi?

Sent using Jamii Forums mobile app
IPhone imejikita sana kulinda siri za wateja wake. Inasemekana kuna kitengo cha siri cha Marekani ambacho ni maalum kwa kuchukua taarifa kadhaa pamoja na fingers print za watu kwa kupitia somu zao za mikononi.
Bilashaka Apple wanacho kifanya ni kuwalinda/kuzikinda taarifa pamoja na siri za wateja wake.
 
Hapa sijaelewa, kwanini inifie

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom