King'muzi cha Continental

King'muzi cha Continental

Kyenju

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2012
Posts
5,337
Reaction score
2,907
Tokea nimenunua hii kitu haijapita hata mwezi, ila performance yake imekuwa ya kusuasua yaani mara nyingi kinakuwa hakiko hewani.

Hii kitu naona hakinipi uhuru wa kupata habari, naomba wale mnatunia aina ya hii device mnijuze kama majanga kama haya nanyi yanawapata, isijekuwa labda cha kwangu kimeharibika, mfn, jana usiku kilikuwa hakifanyi kazi.
 
startv na continental yao ni tatizo kama una wategemea wao tu imekula kwako
Ila search tena utapata za mtume na nabii bado ameziachia bure atleast utakua na chakuangalia na maybe unaweza kuokoka in the process.
 
ha ha ha ha ha ha ha ha ha kwa bongo ukiona mtu anakupa kitu bure bure lazima kiwe na walakini......anywe ngojatuone mwisho wa hivii ving'amuzii
 
Hilo tatizo lipo na kweli kuna kipindi network kunakua hakuna kabisa tena kwa muda mrefu tu. Naona tatizo lao kubwa ni hilo tu ila network inapokuwepo huwa hamna kukwama kwama.
 
mkuu kuanzia mwakan mnaanza kulipia. nliona kwenya account ya fbook kama miezi mi3 hv iliyopita kwamba mtawatch free kwa mwaka mmoja only. shida ya hiyo decoder wao walikurupuka sana kukianzisha.
 
Kuna tatizo kubwa sana na walakini katika swala zima la hizi receivers/decoders na coverage zake. Nadhani TCRA hawakujipanga vema kabla ya kuzindua digital generation hasa, kwa kutumia decoders with antennas. Hii technolojia inahitaji coverage nzuri ya signal, ila sidhani kama coverage yake iko vizuri, kuna maeneo hata hapa Dar, network ni mbaya, au inakuwepo then inapotea.

Kwa wanaotumia dish za KU na C-band huwa hawana hizi kadhaa za network breakdown, ila antennas zina shida.. ving'amuzi vyote, digitek, teksat, continental, startimes vinaleta shida from time to time.
 
Hilo tatizo lipo na kweli kuna kipindi network kunakua hakuna kabisa tena kwa muda mrefu tu. Naona tatizo lao kubwa ni hilo tu ila network inapokuwepo huwa hamna kukwama kwama.

Mkuu network ni nzuri maana signal nacheza kwenye 68% na Level ni 100%.
 
ha ha ha ha ha ha ha ha ha kwa bongo ukiona mtu anakupa kitu bure bure lazima kiwe na walakini......anywe ngojatuone mwisho wa hivii ving'amuzii

Kweli mkuu vya bure gharama.
 
startv na continental yao ni tatizo kama una wategemea wao tu imekula kwako
Ila search tena utapata za mtume na nabii bado ameziachia bure atleast utakua na chakuangalia na maybe unaweza kuokoka in the process.

Tatizo siyo mtume au nabii, tatizo hizi divice hazina uhakika wa kuwepo hewani wakati wote. Maana unapotoka kazini ukikaribia nyumbani inabidi uulizie nyumbni kwanza kama kinafanyakazi, la sivyo upite somewhere uangalie taarifa ya habari.
 
Hawa majaamaa wameishiwa bora wauze tu kampuni kwa mtu atakayeweza kuiendaesha kwa ufanisi
 
mkuu kuanzia mwakan mnaanza kulipia. nliona kwenya account ya fbook kama miezi mi3 hv iliyopita kwamba mtawatch free kwa mwaka mmoja only. shida ya hiyo decoder wao walikurupuka sana kukianzisha.

Kwa sasa in dar mambo ni swafi sana 20 channels free, hongera Continental.
 
Tokea nimenunua hii kitu haijapita hata mwezi, ila performance yake imekuwa ya kusuasua yaani mara nyingi kinakuwa hakiko hewani.

Hii kitu naona hakinipi uhuru wa kupata habari, naomba wale mnatunia aina ya hii device mnijuze kama majanga kama haya nanyi yanawapata, isijekuwa labda cha kwangu kimeharibika, mfn, jana usiku kilikuwa hakifanyi kazi.

Hakuna king'amuzi cha hovyo kama hiki no signal kila wakati, sasa ngoja nikupenjia format channel kisha nenda manual search jaza channel 23 ni za digitak utaanza kuona itakwambia kwa baadhi ya channel kuwa set smart card wewe weka kadi yoyote hata ya benk zitafunguka. Tatizo ni mtambo wao sijui hauna nguvu.
 
hapana kaka mimi nipo tarime nawapata ktk dish ina maana wapo ktk majaribio na chanel zao zote zipo free.teana za ukweli kuliko za azam na startimes
 
hapana kaka mimi nipo tarime nawapata ktk dish ina maana wapo ktk majaribio na chanel zao zote zipo free.teana za ukweli kuliko za azam na startimes

Startimes wao wana cha nyingi sana na pia azam hiki tatizo ni mtambo wao
 
Siku wakianza kulipisha nakizima kwanza kuna channel gani ya maana mpaka nilipie pale si bora niendelee kulipia easy tv au dstv.
 
Siku wakianza kulipisha nakizima kwanza kuna channel gani ya maana mpaka nilipie pale si bora niendelee kulipia easy tv au dstv.

Kwa free, 20 channel siyo mbaya, wakianza kulipisha nafikiri wataongeza channel nyingine. Nitajie hizo channel zisizo na maana.
 
Back
Top Bottom