Jinsi ya Kudownload WhatsApp Status Kwa Kompyuta

Jinsi ya Kudownload WhatsApp Status Kwa Kompyuta

Tanzania Tech

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2016
Posts
355
Reaction score
276
Habari wana JF, Ni wakati mwingine tujifunze kidogo kuhusu teknolojia. Najua wengi wetu tunatumia simu lakini kwa wale wachache wanaotumia kompyuta basi hii ni bora sana kuliko kutumia program au app na kujikuta unajaza simu yako bila sababu. Njia hii itakusaidia kudownload Status za whatsapp za mtu yoyote kwa haraka kupitia kompyuta yako.



LINK MAALUM
1. Kuingia kwenye WhatsApp kwenye kompyuta WhatsApp Web
2. Kujifunza zaidi bofya hapa Jinsi ya Kudownload WhatsApp Status kwa Kutumia Kompyuta

KAMA UMEKWAMA MAHALI UNAWEZA KUULIZA HAPO CHINI PIA, LIKE UZI HUU KAMA UMEIPENDA HII.
 
Back
Top Bottom