Kipis
JF-Expert Member
- Jul 23, 2011
- 492
- 61
Wadau heri ya X-mass na Mwaka mpya!! Tukiwa ndani mfumo mpya kwa mkoa wa Dar es Salaam wa Kidijitali,tunashuhudia wimbi la ving'amuzi likishamiri kwa kishindo. Hii itakuwa faraja kwa watanzania,baada ya kampuni ya sahara media kututangazia kupitia media zao kuwa king'amuzi kijulikanacho kwa jina la continental DVB T2 ambacho kitakuwa na uwezo wa kurekodi vipindi utakavyovihitaji,hivi karibuni kitakuwa sokoni.
Siku za hivi karibuni,niliona tangazo kupitia chanel 5 nao wakitutangazia ujio wa
king'amuzi cha Digtek.Hii itakuwa imefikisha jumla ya makampuni matano yanayo suply ving'amuzi'nayo ni Easy tv,Starmedia,Ting,Digtek na Sahara media.Ombi langu kwa mamlaka husika yaani Tcra ijaribu kuangalia (1) ni namna gani inaweza kumsaidia mtanzani kuweza kumudu gharama za kuweza kumiliki na kukihudumia king'amuzi
(2) mamlaka iangalie ni kwa namna ipi wateja wa hivi ving'amuzi wataepuka kuwa na lundo la ving'amuzi majumbani mwao.
Ni hayo tu wadau.