Network id ipi?, kwa ajili ya APN au?
bhac mkuu nilishatafuta alternative..nilikuwa naulizia network id yaani number zake za utambulisho kwenye masafa wanayorushia..mfano halotel ni 64009Network id ipi?, kwa ajili ya APN au?
nazozifahamu mimi ni zile zinazo patikana kwa wanachuo...mfano gb 7 za internet kwa shilling elfu 5 pekee kwa mwezi mzima...ila ndio hivyo itakugharimu kuwa na line ya mwanachuo.
Alimaanisha kama hizi;Fafanua hyo Network ID unamaanisha nn?
okAlimaanisha kama hizi;
Voda=640 04
Airtel=640 05
Tigo=640 02
Halotel nk
kazi yake..?Alimaanisha kama hizi;
Voda=640 04
Airtel=640 05
Tigo=640 02
Halotel nk