Msaada wa kununua simu

Msaada wa kununua simu

Ungetaja na brand unayoipenda.
Tecno
Huawei
Samsung
Sony
IPhone
 
Wadau nina bajeti ya sh laki tano naomba wale wenye uzoefu na simu waniambie kwa bajet hiyo ninunue simu gani bora natanguliza shukrani za dhati kwenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani hauna ndugu na hata marafiki wa karibu....[emoji34] [emoji34] [emoji34]
Ipo siku mtakuja kuomba ushauri wa kununua hata nguo za ndani, kisa unabajeti ya kiasi cha fedha kadhaa....[emoji34] [emoji34]
 
Mkuu humu wengi wanatumia tecno, hata huyo aliekwambia uongeze 200k for iPhone na wakati ushasema unataka samsung nae anatumia tecno. Hata huyo ushimen nae ni tecno si umeona alivyokujibu hapo juu! So kuwa mwangalifu sana [emoji1][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wadau nina bajeti ya sh laki tano naomba wale wenye uzoefu na simu waniambie kwa bajet hiyo ninunue simu gani bora natanguliza shukrani za dhati kwenu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nauza lenovo karibu
Screenshot_2017-08-13-09-27-53.png
laki 2 Na nusu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani hauna ndugu na hata marafiki wa karibu....[emoji34] [emoji34] [emoji34]
Ipo siku mtakuja kuomba ushauri wa kununua hata nguo za ndani, kisa unabajeti ya kiasi cha fedha kadhaa....[emoji34] [emoji34]
Mkuu acha povu au tecno yako inakusumbua nini??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom