Help....Huawei Y300 unlock Code

Help....Huawei Y300 unlock Code

Rogart Ngaillo

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2013
Posts
933
Reaction score
1,971
Wataalam wa kutoa Malock kwenye hizi simu munisaidie....Nimetumia kwa miaka kadhaa simu hii bila ku-unlock...ila kwa kasi hii ya internet inanilazimu tu nivunje kanuni...
Brand:Huawei Y300
NB:Fidia ya bundle itatolewa kama shukrani kwa mtatua tatizo.
Natanguliza shukrani!
 
Acha kuanika IMEI namba za kifaa chako hapa hadharani kijana it's very risk,,,, N'way kwan ukiweka laini ya mtandao tofauti inadai Unlock code?
 
Acha kuanika IMEI namba za kifaa chako hapa hadharani kijana it's very risk,,,, N'way kwan ukiweka laini ya mtandao tofauti inadai Unlock code?
Ndio mkuu,inadai unlock code...
Nauchukua ushauri...
 
Back
Top Bottom