Hot-spot Wi-Fi inajizima baada ya sekunde 2

Nenda kwenye Setting>Hotspot & Tethering kwenye Hotspot hapo utaona setting ya Keep WiFi Hotspot On>>>Weka "Always"
 
Habari simu yangu aina ya Techno W5 nikiwasha hot-spot Wi-Fi inajizima baada ya sekunde 2.
Kabla nilikuwa natumia vizuri tu. Naomba msaada wenu

Sent using Jamii Forums mobile app

Back
Top Bottom