Wapenzi wa "Football Games" tukutane hapa...

Iyegu

JF-Expert Member
Jun 16, 2014
6,276
12,397
Iwe unapenda Kucheza kwenye PS,PC au kwenye simu...
Iwe unapenda Pro Evolution Soccer,FIFA,Dream League Soccer,First Touch Soccer au unapenda kuwa kama timu meneja katika Top Eleven na mengine mengi.
Tuoneshe mafanikio yako katika gemu husika,kama ni matokeo ya mechi au 'coins' ulizo nazo....
 
Mimi naamini katika game za ukocha kwa hapa tz ni namba moja na kwanje ya tz ni mmoja kati wa hao bora.Nilianza Java nikicheza real football manager mpaka sasa mara moja sana napitia japo matoleo ni mengi.Nikaja kuanza kucheza kwa pc championship manager ya kitambo sana na nyingine nyingi lakini kwa sasa nacheza mmoja total football manager 2005 japo ziko nyingi lakini naipenda hii na kwa mafanikio niko Porto ya ureno na ni bora katika vipaji na nimefanya timu kuwa tajiri pia sijawahi kupoteza kombe lolote la ndani.
 
Heko mkuu,nalikuwa nacheza kwenye PS kipindi fulani,FIFA nikawa kama manager wa BARCA.Nilikuwa napenda ile kuletewa gazeti lina jina langu ukurasa wa mbele,yaan full burudani...
 
Shida ya airtl network iko slow...labda ttcl....ndo nasikiag wana wanadai iko faster pia vfurush n cheap
 
Back
Top Bottom