mitindo huru
JF-Expert Member
- Apr 26, 2016
- 1,610
- 1,602
Flat sreen imetoa ufa, nahitaji Fundi anaejua kuitengeneza pamoja na bei ya kioo
Uko wapi?
Ukipata nami niambie, mimi nipo Dar Es Salaam mkuu!Flat sreen imetoa ufa, nahitaji Fundi anaejua kuitengeneza pamoja na bei ya kioo
OkayUkipata nami niambie, mimi nipo Dar Es Salaam mkuu!
SamsungAina gani
Nimeshakujibu nilipoUko wapi?
Usipoziba ufa utajenga ukutaFlat sreen imetoa ufa, nahitaji Fundi anaejua kuitengeneza pamoja na bei ya kioo
Nimeona mi nilitaka uweke taarifa ili iwe rahisi kwa kwenye msaada kujua.Nimeshakujibu nilipo
Mie ni Fundi Wa Samsung lakini sio hiyo uliotaja.Flat sreen imetoa ufa, nahitaji Fundi anaejua kuitengeneza pamoja na bei ya kioo
Display mpya ni bei gani ndugu?Nunueni display mpyaaa
Nmenunua lg 32 inches kwa 180Display mpya ni bei gani ndugu?
Naomba nielekeze hilo duka linapatikana wapi ili niweze kuinusuru hii luninga yangu.Nmenunua lg 32 inches kwa 180
Kuna mtu nilimuagza mkuu bongo sikufanikiwa pataNaomba nielekeze hilo duka linapatikana wapi ili niweze kuinusuru hii luninga yangu.
Yangu ni Samsung 32 inches screen width