Window phone is now officially dead

PureView zeiss

JF-Expert Member
Sep 5, 2016
9,097
29,887
Hatimae kampuni giant Microsoft wamekiri hadharani kuwa window phone Os haitakuwa na update tena pia wataachana na mambo ya simu,tutegemee update upande wa computer tu

Kulingana na msemaji wao ambae ni mkuu wa uendeshaji wa upande wa simu amedai kuwa wamekuwa wakipoteza shares kwa kiwango kibaya zaidi huku developers wakishindwa kuendeleza apps zao na wengine kuachana na Os yao.
Kitu ambacho kilinifanya nami pia niachane na window ni pale unakuta apps hazina updates huku apps hizohizo kwenye android zinabadilika kila siku

Niliipenda sana hii Os lakini mungu amewapenda zaidi kwaherini window phone
 
Simu nzuri sana ila wamezidi ubinafsi kila kitu wanataka Ku control wao hawawali developer Uhuru pia wanapenda hela sana kuliko biashara acha tu wajiendee zao
 
mkuu bado simu/vifaa vidogo vipo on track sema havitakuwa kama unavyofikiria, Nadella amesema wanataka ku define market, kitatoka kitu chenye muundo mdogo kama simu lakini hakitaitwa simu kitakuwa na jina jengine na ufanyakazi wake utakuwa mwengine.

Ngoja windows on arm itoke tutajua mengi.
 
nokia_lumia_92006-1280x1172.jpg

Wiki iliyopita aliulizwa swali bill gates kuhusu Os ambayo anaweza kuitumia na akajibu ni Android,kwangu mimi sidhani kama wataweza kupanda chati kwa kifupi ni bora wakomae kwenye x box na computer tu

Mashine kama hizi ndio
 
drone labda au jini
 
View attachment 606115 View attachment 606115
Wiki iliyopita aliulizwa swali bill gates kuhusu Os ambayo anaweza kuitumia na akajibu ni Android,kwangu mimi sidhani kama wataweza kupanda chati kwa kifupi ni bora wakomae kwenye x box na computer tu

Mashine kama hizi ndio
soko lipo mkuu, wao wanang'ang'ania kutengeneza os yenye restriction kama ios kwa ajili ya security hilo ndio Tatizo,

wakiruhusu full os kama windows za pc na hardware tofauti na simu then sioni tatizo kwanini isifanikiwe.

kuna tetesi za foldable phone/Tablet, ukiikunja ni simu na ukikunjua ni tablet hii ni safi sana kwa continuum.

kuna maeneo mengi sana windows ni nzuri kushinda os nyengine, wajitahidi kutengeneza device kulenga hao watu.
 
Huyu jamaa alipofeli ni kuacha kuunganisha mfumo wa windows wa simu na pc. Ageweza kufanya app za simu kuwa sawa na za P.C yani executable ingeleta mafanikio makubwa sana maana hapo ndipo android anapomzidi.

Given you have the right hardwares apk yeyote unaitumia iwe kwenye t.v, tablet, friji, gari, simu, bado laptop za android tu ila so far android wins kuliko hata apple os!

Nadhani Gates angefanikisha integration yapps kusingekuwa na haja ya kusumbua watu kudevelop apps hizo hizo kwa p.c na simu!
 
wa kwanza kuachana na windows phone alikua Bill Gates....ali switch to android
Android ndio mji OS wa maana siku zote, i wish ifike time niweze kushare windows apps zangu kwenda android.
Kuna player yangu naipenda mno ipo katika windows pc bersion ila nashindwa kuiweka kwenye android maana developers wake hawajaendeleza kuifanya iwe supported na android.
 
Huyu jamaa alipofeli ni kuacha kuunganisha mfumo wa windows wa simu na pc. Ageweza kufanya app za simu kuwa sawa na za P.C yani executable ingeleta mafanikio makubwa sana maana hapo ndipo android anapomzidi.

Given you have the right hardwares apk yeyote unaitumia iwe kwenye t.v, tablet, friji, gari, simu, bado laptop za android tu ila so far android wins kuliko hata apple os!

Nadhani Gates angefanikisha integration yapps kusingekuwa na haja ya kusumbua watu kudevelop apps hizo hizo kwa p.c na simu!
hio mbona ipo? windows 10 inatumika maeneo mengi kushinda android, na continuum haihitaji kuiandika upya ina adapt yenyewe automatic, mfano simu ukiconect na monitor inakuwa desktop na ui pia inachange, tablet ukichomeka keyboard ui inachange inakuwa laptop, ukiconect na display kubwa ya ukutani ui inachange vile vile na kuwa ya kibiashara zaidi etc.

issue ni programs za x86 au kama ulivyoziita executable, simu hairun hizo programs hivyo inakosa apps na programs za maana, kuna apps store unarun ukiwa na x86 hardware tu.

tusubiri hio windows on arm ya kuwezesha full windows kurun kwenye processor za simu (arm) kama itaweza badilisha hili.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom