Programming language gani iliyo tengeneza jamii forums web App

Jitu jeusi

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2015
Posts
1,721
Reaction score
2,401
habarini , ningependa kujua je ni language gani iliyo tengeneza jamii forums web app???

pia kuna baadhi ya site zimetengenezwa kwa php ila ikiwa online huwezi kuona extention ya .php je huwa wanafanya nini hadi inaonekana page pasipo extension

karibuni
 
JF ilikuwa inatumia custom version ya VBulletin ambayo ni PHP based. Ila naona wamehamia XenoForo ambayo pia ni PHP based.

Ila Huwezi kujua exact technologies zilizotumika behind kwa sababu inawezekana kukawa na extra technology kwa specific stuff kama notification et al.
 
habarini , ningependa kujua je ni language gani iliyo tengeneza jamii forums web app???

pia kuna baadhi ya site zimetengenezwa kwa php ila ikiwa online huwezi kuona extention ya .php je huwa wanafanya nini hadi inaonekana page pasipo extension

karibuni
Unaweza ondoa extensions katika URL au kutengeneza custom URLs kwa kutumia .htaccess

Ila pia kuna site nyingine wanatumia MVC frameworks ambazo zina take care hiyo process yote!
 
vipi mkuu unataka kuipiga na yale makombora yanaitwa DDos?
 
Back
Top Bottom