PCB printing

PCB printing

JAXPAROW95

Member
Joined
Feb 7, 2016
Posts
71
Reaction score
27
Wakuu kwa yeyote mwenye utaalamu na kuprint circuits kwenye copper board (pcb) hususani kwenye maswala ya copper board, chemical upatikanaji wake na bei zake nahitaji msaada.
 
Kama unahitaji ready made nafanya hiyo kazi, wewe ni kunitumia michoro nitafanya process zote, wewe utakuwa na kazi ya ku place component na kufanya soldering.

Kama unataka kufanya kilakitu mwenyewe unahitaji vifuatavyo:
1. Laser printer yenye resolution kubwa ni nzuri zaidi
2. Computer + software zipo nyingi cheki utayoona rahisi unaweza anza proteus, Eagles, n.k
3. Etchant zipo nyingi hapa itabidi uangalie itakayokufaa kila moja ina faida na mapungufu yake kwa hiyo fanya kusoma soma uone ipi ni suitable kwako.
4. Kuhamisha michoro kwenda kwenye PCB unaweza kutumia photoresist method au heat transfer method angalia njia itakayokufaa pia kila moja ina faida na mapungufu yake.
5. PCB clad, hii ni ile plane copper board kwa ajili ya printouts.
6. Mini drill kwa ajili ya kutoboa vitundu kwenye PCB, lazima uwe na bits za size 0.7mm, 1mm, 1.5mm n.k kwa ajili ya components.

Hizo ni dondoo kwa kifupi, pitia vijarida na articles za tronics kuongeza knowledge.

Hizi baadhi nilizofanya
DSC_0828.JPG
DSC_0822.JPG
 
View attachment 602993 View attachment 602994
Nashkuru sana kiongozi kwa maelezo yako ya kina
1.kupata Laser printer haitakuwa tatizo sana.
2.kutumia hizo proteus au Eagle Cad pia kwa kiasi chake naweza kuzitumia.
3.Hapo kwenye etching ndo tatizo linpoanzia tutorial nyingi naona waanatumia Ferous Chloride, ila kwa vile wewe ni mzoefu ningependa kufahamu unatumia etchants gan ikiwa na upatikanaj wake kama bei na kwa ujazo gani.
4.Katika ufatiliaji niliona kama heat method kama ndo rahisi zaidi ingawa unaweza kun correct if am wrong , wewe unatumia ipi?
5.PCB clads hizo zinapatikanaje au ndo mpaka niagiza maana nimeziona Aliexpress wanaziuza kama bundle la board 10 kwa less than tsh 20000.
6.Min drill nmeshaagiza vifaa ntatengeneza yangu mwenyewe (DIY min-drill).

Samahani sana kwa kuhitaji maelezo ya kina zaidi ingekuwa rahisi zaidi kama ungetumi reference za ufanyaji wako wa kazi. Thanks in advance
 
3. Nishatumia njia zote, ya heat toner transfer na hiyo nyingine ya UV exposure, kwa wepesi na urahisi nenda na heat toner transfer ingawa haifikii ubora ya UV exposure changamoto ya UV ina taka vitu vingi na iko complicated kiasi.
Kwa hiyo nashauri anza na heat toner transfer.
Chemical unaweza tumia hiyo ferric (III) chloride, ingawa zipo nyingine nzuri zaidi.
bei ya ferric III ni around 60k-80k kwa 500g inategemea na eneo, ni powdered.

5. Kuna maduka baadhi yanauza kwa DSM, mtaa wa congo kuna ile njia yalikua yakipaki ma coaster ya temeke, kuna maduka ya wahindi wanauza hizo board.
Kama ni za kuagiza uangalie na size kuna ambazo ni nyembamba sana mithili ya karatasi.
 
Shukrani sana kiongozi.
 
Kama unahitaji ready made nafanya hiyo kazi, wewe ni kunitumia michoro nitafanya process zote, wewe utakuwa na kazi ya ku place component na kufanya soldering.

Kama unataka kufanya kilakitu mwenyewe unahitaji vifuatavyo:
1. Laser printer yenye resolution kubwa ni nzuri zaidi
2. Computer + software zipo nyingi cheki utayoona rahisi unaweza anza proteus, Eagles, n.k
3. Etchant zipo nyingi hapa itabidi uangalie itakayokufaa kila moja ina faida na mapungufu yake kwa hiyo fanya kusoma soma uone ipi ni suitable kwako.
4. Kuhamisha michoro kwenda kwenye PCB unaweza kutumia photoresist method au heat transfer method angalia njia itakayokufaa pia kila moja ina faida na mapungufu yake.
5. PCB clad, hii ni ile plane copper board kwa ajili ya printouts.
6. Mini drill kwa ajili ya kutoboa vitundu kwenye PCB, lazima uwe na bits za size 0.7mm, 1mm, 1.5mm n.k kwa ajili ya components.

Hizo ni dondoo kwa kifupi, pitia vijarida na articles za tronics kuongeza knowledge.

Hizi baadhi nilizofanya
View attachment 602993 View attachment 602994
Namba yako please
 
Back
Top Bottom