Tomaa Mireni
JF-Expert Member
- Sep 8, 2015
- 2,451
- 2,466
Mara nyingi sana tunaibiwa kuhusu kutambua memor OG na fake, Unaweza kukuta mtu anauza GB 32 kwa buku 10 tu,hapo kama ni mjuzi lazma ushangae,sasa baaaaas tumia App hii SmatSkills: Jinsi ya kuitambua Memory Card Original kujua OG.
Na hakikisha unaenda na simu yenye app hiyo kabda hujanunua utest kwanza
Na hakikisha unaenda na simu yenye app hiyo kabda hujanunua utest kwanza