Mussa_hassan
Member
- Oct 6, 2017
- 53
- 42
S
Tanzania Kupata Sio rahisi. The best unaweza kupata ni wired Barcode Scanner na sidhani kama zitakuwa bado zipo.Habarini za saiz wakuu.
Nashida nimekwama naomba msaada.
Niko nafanya project, ila inahitaji barcode scanner.pia na finger print reader
Naomba msaada kwa mtu yeyote anae jua maduka yanayo uza vifaa hivi kwa hapa tanzania.
Asante
Asante mkuu umenipa mwangaTanzania Kupata Sio rahisi. The best unaweza kupata ni wired Barcode Scanner na sidhani kama zitakuwa bado zipo.
Kifupi hakuna wateja wengi wa hizo mambo Bongo. Inabidi uagize tu!
NB: Jiandae kulipia Barcode Scanner, Usafiri pamoja na kutuchangia Kodi!