Msaada kuhusu simu iliyoibwa

Msaada kuhusu simu iliyoibwa

T-Bagwell

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2017
Posts
1,245
Reaction score
2,387
Habari za jioni Wakuu

Miezi kadhaa iliyopita niliibiwa simu yangu... kwavile niliinunua ikiwa full boxed nikafungua shtaka polisi na nilipeleka risiti polisi pamoja na Imei number

Polisi wakaniambia nisubiri mtuhumiwa atapatikana

Ni mwezi na zaidi ya wiki 2 sasa hakuna mafanikio....katika piga story za kitaa niligusia hili swala ndipo kuna mtu akaniambia simu nyingi zikiibiwa huwa zinadilishwa Imei number na ndipo inaposhindikana kwa polisi kuweza kutambua mtumiaji mpya wa simu.

Wakuu hili swala eti ni kweli linawezekana? ? Na kama linawezekana nini kinaweza kufanyika ili niweze kuipata simu yangu? ????
 
kwa ushauri tu, sahau iyo simu mkuu unapoteza mda bure, jichange nunua mpya maana amna namna
 
Habari za jioni Wakuu

Miezi kadhaa iliyopita niliibiwa simu yangu... kwavile niliinunua ikiwa full boxed nikafungua shtaka polisi na nilipeleka risiti polisi pamoja na Imei number

Polisi wakaniambia nisubiri mtuhumiwa atapatikana

Ni mwezi na zaidi ya wiki 2 sasa hakuna mafanikio....katika piga story za kitaa niligusia hili swala ndipo kuna mtu akaniambia simu nyingi zikiibiwa huwa zinadilishwa Imei number na ndipo inaposhindikana kwa polisi kuweza kutambua mtumiaji mpya wa simu.

Wakuu hili swala eti ni kweli linawezekana? ? Na kama linawezekana nini kinaweza kufanyika ili niweze kuipata simu yangu? ????
mi nahisi imei number feki aiwez tumiwa ndan ya tanzania yetu kwa sasa hv....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom