Msaada : Tool ya kuflash HTC sensional xl i39200

magnifico

JF-Expert Member
Jan 14, 2013
7,429
13,172
Habari.

Wakuu kama kuna mdau amewahi kuflash hizi simu tubadilishane uzoefu. Yangu ina tatizo la bootloop, kwenye Recovery mode inaingia ila ukichagua chochote kile inajireboot.

Nawasilisha.
 
Back
Top Bottom