Jamiiforums Application mpya - zawadi kwa Jamiiforums

Jamiiforums Application mpya - zawadi kwa Jamiiforums

Nadhani tayari Kuna App ya Jamii forum ajili ya smartphone.
 
Hongera sana Mahmood ..... Tunategemea mutakuja na java app one day
 
Last edited by a moderator:
Kwangu mm hii ya sasa sijaipenda maana haina kitufe cha like kama ile ya mwanzo.
 
Naidownload ntaleta feedback .. vipi password zetu hubaki nazo... Kabla sija login nijue
 
Naidownload ntaleta feedback .. vipi password zetu hubaki nazo... Kabla sija login nijue

Mkuu, Password zote zimehifadhiwa katika database madhubuti ya Jamiiforums hamna mtu anaweza kuziona.
 
Ipo slow sana kufungua, af uki click sehemu unayotaka kufungua haionyeshi kama ina -load.
 
Back
Top Bottom