Tushee maujanja ya gbwhatsapp

Tushee maujanja ya gbwhatsapp

mikumiyetu

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2016
Posts
1,312
Reaction score
947
Habari ya jumapili wakubwa naomba tushee maujanja ya gbwhatsapp,mimi uwa napenda bahadhi ya themes kwa juu kabisa inakuonyesha marafiki zako ambao wapo online,pili unaweza kubadili rangi ya maandishi ya chating zangu,tatu kubadili rangi ya icon,nne naweza kuzome profile picture ya rafiki yangu
 
mbn nadamlod apa inaniguid ad nisign up facebook na nkilogn nabak2 kuuse fb kawaid con kitu
 
Niyaukweli sanaa unaweza kubadili colour ya icon yako
1478447475488.png
1478447482739.jpg
 
Back
Top Bottom