Msaada kuhusu hii memory card

Msaada kuhusu hii memory card

Alkelokas

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2012
Posts
203
Reaction score
104
Habari zenu wana JF,ni kwamba nilikuwa Na memory card yenye ukubwa wa 2gb,hii memory nilikuwa nikitumia kwenye simu(smartphone) .
Hivyo ilibeba programs baadhi za simu,sasa juzi kati nikaitoa kwenye simu Na kukopi files zote kwenye PC .Baada ya hapo nikaformat, Nikaweka video za MPG Na kuplay video kwenye DVD deck ,baadae nkamua kuiformat tena ili nirudishie kwenye simu.
Cha ajabu nilivyoiformat tu nkakuta inasoma 250MB.nmejarbu kuiformat hata kwenye simu bado inasoma 250MB.
Msaada jaman kama kuna namna naweza kuirudisha memory angu kama mwanzo.
 
1. inawezekana walikutapeli kwa kukuuzia memory card ya mb 250, upo uwezekano wa kuchange memory card ikasoma kama ina GB nyingi wakati kumbe uwezo wake haufikii hizo gb. hata wale matapeli wa mtaani wanaouza flash na memory card za gb 64 hutumia njia hizi.

2. inawezekana kuna nafasi hujaifanyia allocation ionekane, pengine ulifanya partition au kutumia software usio ifahamu etc.

kwanini usiifanyie full format kwa mfumo wa kawaida kwa kutumia kifaa unachotumia? mfano kama unatumia simu ya android, tumia hio simu kuiformat.
 
Chief -habari cm yangu INA INA GB 8 na iko free GB 5 ila nikiingiza vitu inasema it needs mb 112 ,shida ni nn?, pia Nina Memory card 4Gb je ninaweza kuchanganya na Gb za cm ikawa na nafasi kubwa? Nifanyeje? Asante mkuu
 
Hii memory ilikuwa original aina ya strontium Na nimeitumia kwa miaka mitatu sasa ikiwa Na ukubwa wa 2gb.

Sent from my VF685 using JamiiForums mobile app
 
Chief -habari cm yangu INA INA GB 8 na iko free GB 5 ila nikiingiza vitu inasema it needs mb 112 ,shida ni nn?, pia Nina Memory card 4Gb je ninaweza kuchanganya na Gb za cm ikawa na nafasi kubwa? Nifanyeje? Asante mkuu

mkuu baadhi ya sd card hazikubali mafile makubwa nimewahi kutana nazo za kichina, ukijaribu kueka file moja moja au mafile madogo mengi pia inakataa kuingia?

ndio unaweza kufanya memory card kama internal ila ni kuanzia android 6, na inataka memory card yenye speed kubwa.
 
1. inawezekana walikutapeli kwa kukuuzia memory card ya mb 250, upo uwezekano wa kuchange memory card ikasoma kama ina GB nyingi wakati kumbe uwezo wake haufikii hizo gb. hata wale matapeli wa mtaani wanaouza flash na memory card za gb 64 hutumia njia hizi.

2. inawezekana kuna nafasi hujaifanyia allocation ionekane, pengine ulifanya partition au kutumia software usio ifahamu etc.

kwanini usiifanyie full format kwa mfumo wa kawaida kwa kutumia kifaa unachotumia? mfano kama unatumia simu ya android, tumia hio simu kuiformat.

Mkuu unawezaje kutambua memory pale pap umekutana na mtu tu anauza memory card kwa reasonable price msaada na je kama memory gb 16 ukiweka ikisoma gb 15.43 hyo ni fake na je kama sio ntafanyajr ili nijue hiyo njia kwa kutumia app na ni ipi? Ahsanteh
 
ile app ya sd insight itakujulisha, au eka file la huo ukubwa, tafuta movie zako kama 10 hivi eka kwenye hio sd card ya 16gb ukiona inajaa kabla gb hazijatimia means ni fake.
 
Ubarikiwe mkuu maana umenipa najibu yote niliokuuliza
 
Back
Top Bottom