Hizi Expensive Phones Billing yake Ikoje watalaam?

Troll JF

JF-Expert Member
Feb 6, 2015
7,804
12,224
Wakuu hii Simu Inauzwa Sh. 3,000,000/= Vipi billing au Vocha Zake Kwa Tanzania Zinatolewa na Kampuni Gani nimevutiwa Nazo Siku za Mbeleni Nikipata pesa Nitanunua.
s-l500.jpg

s-l500-1.jpg
 
Hizo wanaita Satellite phones. Kwa Tanzania sidhani kama kuna company inazisambaza (kwamba unaweza kununua hapo na ukawa na account kwa ajili ya malipo).
 
Hizo wanaita Satellite phones. Kwa Tanzania sidhani kama **** kuna company inazisambaza (kwamba unaweza kununua hapo na ukawa na account kwa ajili ya malipo).
Naonaga Viongozi wakubwa wanazo nazichukulia Poa zipo hadi za Tsh.20Million
 
Naonaga Viongozi wakubwa wanazo nazichukulia Poa zipo hadi za Tsh.20Million
Sababu ya viongozi wengi wakubwa kutumia ni hiyo, kwamba hazitumii mitandao ya simu, zenyewe mawasiliano yake ni moja kwa moja kwenye satellite. Kwa hiyo betri yake ikiwa imejaa popote alipo anapata mawasiliano.
 
Kama hutaki watu wagoogle maongezi yako nenda huko.
Hii mitandao usikia simu inaingia kwengine ndo wewe unapokea taabu tupu
 
Sababu ya viongozi wengi wakubwa kutumia ni hiyo, kwamba hazitumii mitandao ya simu, zenyewe mawasiliano yake ni moja kwa moja kwenye satellite. Kwa hiyo betri yake ikiwa imejaa popote alipo anapata mawasiliano.
inawezekana pia si rahisi kudukuliwa
 
Ninayo moja CISCO IP7925 nimeshindwa kutumia haina line lakini full network
 
Back
Top Bottom