kadoda11
JF-Expert Member
- Jan 6, 2011
- 21,453
- 20,757
Leo katika mda wangu wa mapumziko, nime-design kitu kidogo cha kuchangamsha uoni wako.
Niambie katika hizo rangi mbalimbali za logo, ipi inakuvutia zaidi.
How did i do it?, Nakaribisha maswali/maoni.
CC Chief-Mkwawa na wadau wote wa jukwaa hili