Speed hii inavutia...!!!!

Speed hii inavutia...!!!!

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,258
Reaction score
22,140
Halotel hawajawhi niangusha aisee
Screenshot_2017-10-09-17-16-08.png
 
dah bado mpo huko? mimi siku hizi chini ya 20mbps naona kama ipo slow, 4G ndio mpango mzima kama upo kwenye coverage
Hivi ni mtandao upi upo vzr kwa upande wa 4G kama upo kwenye coverage?
 
Mmh! Mbona io speed ni ya kawaida sana! Mimi sehemu nilipo voda inapiga mpaka 8Mb/sec na minimum speed ni 3Mb/sec kwa 3G tu,,,, Voda ni hatari!!
 
unaotumia band 1800 mara nyingi, ambao ni Vodacom na Ttcl kwa Tanzania.
ukitaka coverage nenda 800 kwa Tigo.

Mkuu unafahamu mtandao wowote unaotoa package nzuri ambayo ni truly unlimited per month? Najua Smart na Smile ukifika 50GB speed inashuka hadi KBPs. Natafuta truly unlimited and fast ambayo mtu anaweza kustream mfano netflix bila shida.
 
Nafahamu simbanet ila ni very expensive, na package zao ni maelewano hadi uwapigie.

kwa online hapa naona nduki ya TTCL
-3mbps kwa 180,000
-4mbps kwa 290,000
Unlimited Packages(Nduki) | TTCL

ni adsl

pia kuna fiber ya zuku wanaitangazia kama upo kinondoni, masaki, na ile penisula kwa ujumla

Fiber Packages - Zuku
 
Mmh! Mbona io speed ni ya kawaida sana! Mimi sehemu nilipo voda inapiga mpaka 8Mb/sec na minimum speed ni 3Mb/sec kwa 3G tu,,,, Voda ni hatari!!
acha wewe hiyo ni 3G? tena ya voda? mmmmh!
 
acha wewe hiyo ni 3G? tena ya voda? mmmmh!
Yap! Ya voda hii mkuu ndio... Sehemu nilipo vodacom ndio inakimbiza kuliko hata halotel na coverage ya voda iko kubwa sana hapa.....
 
Screenshot_20171011-101838.png
Duh yani Upload speed yangu ndio Download speed yako, kweli Vodacom akisema ndio mtandao wenye Kasi zaidi hajakosea.

Alafu hiyo speed ya 4.25MB/s hapo juu ni kwa sababu nipo sehemu yenye coverage ambayo sio nzuri nikikaa home karibu na mnara ni shida!! Kwenye range ya 45-50mbps
 
View attachment 606901 Duh yani Upload speed yangu ndio Download speed yako, kweli Vodacom akisema ndio mtandao wenye Kasi zaidi hajakosea.

Alafu hiyo speed ya 4.25MB/s hapo juu ni kwa sababu nipo sehemu yenye coverage ambayo sio nzuri nikikaa home karibu na mnara ni shida!! Kwenye range ya 45-50mbps
Mkuu ni kwneye device gani hapo
 
Mkuu ni kwneye device gani hapo
Hiyo ni kwenye Samsung Galaxy lakini kwa kufanya test ya 3g ya Vodacom
Screenshot_20171011-103244.png
nimeona kuwa kweli halotel wanajitahidi sana na kama ninavyo ona kwenye mashati yao yanao sema "4G Coming Soon" wakija kwenye ulingo wa 4G watakuwa wapinzani wazuri sana
 
Back
Top Bottom