Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 13,497
- 21,588
Nikimpigia mtu simu inaita tu lakin kwangu NA kwake yy hata kuita haiiti kabisa
Network chenga....Nikimpigia mtu simu inaita tu lakin kwangu NA kwake yy hata kuita haiiti kabisa
Nimejaribu Ku update kila Mara naona sijafanikiwaUko na latest version?
Network iko poa tu mkuuNetwork chenga....
Mimi natumia vizuri angalia mtandao unaotumia usije ukawa unakuangusha pia simu inaweza andika 3g au 4g lkn apn settings zikakuangusha.Nimejaribu Ku update kila Mara naona sijafanikiwa
Nmemuambia lakini kadai network iko gud! Basi afanye backup ya data zake za watsapp then uninstall na a reinstall upya kutoka play storeMimi natumia vizuri angalia mtandao unaotumia usije ukawa unakuangusha pia simu inaweza andika 3g au 4g lkn apn settings zikakuangusha.
Sawa mkuuNmemuambia lakini kadai network iko gud! Basi afanye backup ya data zake za watsapp then uninstall na a reinstall upya kutoka play store
OkSawa mkuu