Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

the division 1 hii imetoka March 8, 2016 the division 2 hii imetoka March 15, 2019 cc Chief-Mkwawa the great wizard @k-camp
0 Reactions
17 Replies
2K Views
The GPS is owned and operated by the U.S. Department of Defense but is available for general use around the world. Tuvisusie vitu vyao hawa mabeberu...
1 Reactions
25 Replies
3K Views
Another must read
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kama kichwa Cha habar hapo juu! Ninayo TV tajwa hapo juu nilipoinunua haikua na decoder Ila ikaunguza mother board ikabidi Ninunue motherboard mpya! Motherboard hii niliyouziwa inaonekana Ina...
1 Reactions
23 Replies
6K Views
Wakuu nataka ninunue Jokofu, la matumizi ya kiseja lisizidi bajeti ya laki 4. Brand ipi ni nzuri zaidi, na wapi naeza pata kwa dar es salaam ?
1 Reactions
58 Replies
9K Views
Habari zenu wanajamvii... Simu yangu spark 2 KA7 katika harakati za kupanga vitu imedondoka na kioo kimepasuka sana ila bado inafanya kazi vizuri tu.. nauliza naweza kupata kioo kipya kuirudisha...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Waku habari zenu ni matumaini yangu mpo poa Niende kwenye mda moja kwa moja nina mpango wa kufungua blog yangu hii ni kwajir ya kuongeza kipato pia nina muda wa kufanyia kazi iyo blog mana muda...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Elmurasolutionsltd All types of IPhone Display Original Cables, Charger, earphone with Warranty We can Fix your broken Display wherever you're. We offer 3D/4D Glass Protector after fixing...
0 Reactions
1 Replies
954 Views
Wakuu.. Nina laptop niliuziwa ikiwa na Bios passoword bila kujua, Naomba mnisaidie je hii password inaweza kutoka? / Na pia nifanyeje ili niweze kuweka window maana nimekwama kabisa. Chief-Mkwawa
0 Reactions
4 Replies
952 Views
Nina pc yangu aina ya acer shida inakuwa kuwaka inachukua dakika 20 kwa kujirestart mara system recover nimebadili window bado tatizo linaendelea naomba yeyote mwenye uelewa anisaidie plz
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Wadau nipo katika tukio la harusi. Sasa jamaa anayechikua video anaweka hiki kifaa kuelekea eneo analochukua picha. Sasa sijajua ni kitu gani hiki na kina kazi gani. Naombeni mnijuze wadau nitoe...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Nilifungua account ya Facebook nikaweka mfumo wa two security nikawa natumia kama kawaida sasa tatizo ni kwamba nikitaka Ku login ili nitumie code code haitumwi NA Facebook nilisha lipoti tatizo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wadau naomba mwenye kuijua app kwa ajir ya kufanyia mixing itakayonipa mb chache ila quality nzuri.. Nimejaribu kutumia Virtual Dj ila inanipa mb nyingi sana kwa mixing isiyozidi hata 1hr inaleta...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Free Download Windows Password Reset PCWin Recovery w/ Windows Password Reset Reset Windows Passwords Easily and safely reset any Windows password (including the Administrator password) to...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Habari za mchana wadau, Dunia siku hizi imekuwa kijiji kimoja (global village) thanks to technology. Sasa, kwa mujibu wa hili, naamini pia web design/development tanzania imekuwa. Endapo wewe ni...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
I hope all mko poa...nianze tu katika kuomba ushauri wenu ni hivi,mimi ni graduate wa electrical engineering katika moja ya vyuo hapa nchini tena kikubwa tu ila ninahisi kama I don’t qualify to be...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Wakuu, hivi kuna ambaye anatumia lile bando letu la kushusha vitu (heavy weight) 1000 internet bure kuanzia saa 6 mpaka sa12 asbh Maana mara ya nne hii nachoma buku zangu hela wanachukua na...
1 Reactions
28 Replies
7K Views
Wakuu msaada mwenye kujua tatizo tv yangu LG haionyeshi display ila power iko on
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Habari wapendwa. Naomba msaada wa anaejua Jinsi ya Kujiunga na jumia. Nina bidhaa zangu nataka Niwe nauza huko. Shida ni jee najiungaje. Mwenye kujua Tafadhali anieleweshe mnaamini humu Kuna...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…