GLOBAL CITIZEN
JF-Expert Member
- Jun 5, 2014
- 767
- 1,663
Mambo vipi?
Nimeketi sehemu nimetulia nikaona ngoja niandike post fupi ni-share some interesting news na wana JF kuhusu teknolojia, ujasiriamali na vile mambo yanavyobadilika haraka katika dunia yetu.
Binafsi napata shauku sana nikiona watu wenye uthubutu wakijaribu kubadilisha vile tulivyozoea kufanya mambo.
Naomba nisiandike sana kuhusu hayo ngoja nirudi katika mada ambayo kwamakusudi kabisa nimeweka katika swali.
Ok let’s go.
Miaka 12 (2007) iliyopita Jeff Bezos, mwanzilishi na Mtendaji mkuu wa Amazon alizungumza katika program ya TedX akitoa mada yenye title “Electricity Metaphor”
Hii mada aliitoa miaka miachache tu baada ya dot-com bubble kupasuka 2001
Yep.
Do you know what that is?
Well, dot-com bubble kwa lugha rahisi ni kipindi kuanzia 1994 hadi 2001 ambapo internet ilichipuka kwa kasi sana.
Makampuni yaliyowekeza kwenye tech ambayo mengi yalikuwa chini ya Nasdaq Composite stock market index hisa zilipanda thamani sana kuliko uhalisia lakini ilipofika 2000, 2001 mambo yakibadilika wanahisa kaanza kukosa imani kuhusu thamani halisi ya hizi kampuni walizowekeza.
Nini kilifuata?
Bubble ikapasuka.
Wameita Internet Bubble kwasababu bubble ni kama vile unaishi katika dunia fulani ambayo haina uhalisia.
Na kama ujuavyo kitu kikikosa foundation imara ku-support thamani halisi basi mwisho wasiku lazima ita-crush.
Hiki ndicho kilichotokea.
Mostly ilitokea Marekani
Online shopping store kama vile Pets.com, Webvan, Boo.com, Northpoint zilikufa kifo cha mende.
People lost millions of dollars [emoji385]
Jeff Bezos na Amazon yake pia kampuni ya eBay waliyumba lakini baada ya bubble kuisha haraka sana wali-recover na ku-dominate the e-commerce.
Sasa nikirudi kwa Bezos.....aliendea kusema event kama hii si mara ya kwanza kutokea Marekani.
Miaka ya 1800s ilitokea kitu kilichoitwa California Gold Rush.
Prospectors toka kila kona ya Marekani wakaenda kutafuta Gold na mwisho hiyo Gold ikaisha.
Zaidi ya watu 300,000 walienda Calofornia kutafuta Gold.
Hapa ndipo point ya Jeff inapoonekana kuhusu “Electricity Metaphor”
Gold ikiisha imeisha.
Lakini Innovation haiishi.
Hakuna anayeweza ku-control innovation.
Lakini inawezekana ku-control miundombinu (infrastructure) ambapo innovation itawezeshwa.
Jeff anaelewa Internet ni Backbone ya Digital Age.
Ndiyo maana Amazon inawekeza katika Satellite Internet [emoji930]
Hii maana yake Jeff anajiandaa ku-control na ku-dominate dunia katika eneo la ecommerce kupitia Satellite Internet.
Hii haimaanishi itakuwa rahisi kwa Amazon kwasababu tayari wapo big players wengine wanaoanza kuwekeza katika hii eneo lakini ukweli utabaki Amazon as a ecommerce company itakuja ku-dominate almost everything in the future.
Ni kama Electricity vile.
Hata iweje Electricity itaendelea kuhitajika tu.
Ni sawa na Innovation.
Watu wataendelea ku-innovate kwasababu change is inevitable.
Kufahamu hili Jeff anajiuliza je, Amazon itawezaje ku-dominate future ya internet na ecommerce?
Jibu ni kuwekeza kwenye Satellite Internet.
Satellite Internet itafanya Internet ipatikane sehemu yoyote ile duniani hila kutegemea physical installations za mitambo kila sehemu.
Pia itasababisha gharama kuwa karibu na bure.
Watu watatumia zaidi Internet na kwasababu Amazon watakuwa wame-dominate infrastrutture ya Satellite Internet basi Amazon itakuwa very very powerful.
Na hiyo ndiyo sababu kwanini Amazon imeanza kuwekeza katika Satellite Internet.
Unapata somo gani hapo?
Well, somo moja kubwa unalopata sasa hivi kila kitu kinahamia mtandaoni.
Biashara Yako kama haijaanza kutengeneza presence Online soon itapotea kwasababu hutoweza kuwafikia potential customer kama hutojijenga Online.
Sasa hivi traditional companies kama vile kampuni za TV na Redio faida ya pesa za matangazo zinapungua kwa kasi kwasababu watu wanachagua kutumia Internet kujitangaza.
Kwasababu gani?
It is cheap and very effective.
Unaweza kufikia thousands of people just by using your laptop [emoji335] or smartphone.
Watu wanadhani mabadiliko ya telnolojia hayatawagusa.
Wanajidanganya.
Usipo embrace technology utapotea.
Hasahasa kwa wajasiriamali.
Yes. Ngoja niishie hapa isiwe post ndefu.
Enjoy.