Invinsible
JF-Expert Member
- Nov 11, 2014
- 314
- 382
Wataalamu wa mtandao, naomba kuuliza kuna app yoyote inayoweza kuhifadhi music yako iliyo kwenye simu,? namaanisha nataka kuuza simu na miziki yangu naitaka nihifadhi ili nikinunua simu mpya na install upya app napata miziki yangu yote.