NAOMBENI MSAADA JAMANI MODERM YANGU INASUMBUA

Msokwa1

JF-Expert Member
Mar 2, 2018
470
511
Wakuu nashindwa connect mtandao wa internet kwa kutumia hii moderm yangu yaan hii moderm inanishangaza kwa kuwa inasoma laini vizur tu majina message na mtandao unaonyesha kabisa umesoma tatizo linakuja pale napotaka connect internet inakuja feedback kwamba"the list is out of bound -1" nikijarbu kuset apn manually ina nambia connection failed yaan sielew nakosea wapi naomba msaada wa mawazo katika hili
 
Ni universal modem?
 
Back
Top Bottom