HALOTEL NA AIRTEL WANALETA 4G LTE LINI WAKATI NOW DUNIA IKO KWENYE KIZAZI CHA 5G??

Bujoro

JF-Expert Member
Jan 30, 2018
3,046
2,131
Habar za wakat huu wakuu



Moja kwa moja najielekeza kwenye mada huska kama inavosomeka hapo juu hivi hawa watu wa halotel na airtel wanawaza nn mpka mda huu hawajaketa 4G wakati dunia now iko kwenye kizazi cha 5 yaani 5G??? Hawaoni kama wakichelewa zaidi watakuta haina kazi tena hiyo 4G au watarukia kwenye kizazi cha 5 yaani 5G??

Kwa walio karibu na hawa watu au wale wanaofanya kazi kwenye haya makampuni mabosi wao wanasemaje kwamba ni lini wataleta hiki kizazi cha 4G?? Maana mimi kama mmoja wa wateja wao napata taabu sana kwa speed yao now ni 3G iko slowly sana kuliko voda na mitandao mingine yenye kizazi cha 4G

Naomba majibu kwa mwenye fununu au sisi wateja wao ndo tumeridhika ka huduma yao tungekazana kuwalalamikia lbda mpaka mda huu wangekuwa washaketa 4G.. Naomba kuwasilisha karibuni kwa michango yenu.

Ona wenzetu speed yao hadi raha.
tapatalk_1561141180588.jpeg
tapatalk_1561141186414.jpeg
 
Back
Top Bottom