Nawezaje funga internet kwa individual app

elmagnifico

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2011
Posts
8,260
Reaction score
9,764
Kuna feature moja mwenye ios ambapo unaweza zuia app yoyote isi access internet. Nimejaribu kwenye android lakini sijapata namna naona kuna stop app from running in the background lakini app kama whatsapp still ina run.
Je kuna namna ya kuzuia nyingine?
Ila android 9 iko vizuri kwakweli hasa kwenye samsung, huhutaji hata antivirus, huhutaju hata 3rd part kuhide apps ambazo hutaki zionekane, huhitaji 3rd party kama parallel kuwa na dual accounts za whatsapp, fb, fb messenger, we chat, telegram n.k
 
Kama unatumia bithaa ya Xiaomi hiyo option ipo
 
Back
Top Bottom