Secure boot Download Agent

Simu inayotaka DA file ,make sure unakua na DA sahihi ya simu yako kisha utaload kweny tool ndio uendelee na task yako

Zimejaa mtandaoni kibao..unataka DA ya simu gani?
 
Yani hizi DA files zinatumika wakati gani ,na files nyingine kama vile scatter files zinatumika wakati gani.

Samahani mkuu kwa maswali mengi mimi ni mgeni kama kwenye haya mambo bado najifunza sina hata miezi miwili.
 
Soma hapo mkuu nahis maswali yako yote yamejibiwa...

Back
Top Bottom