Unaifahamu IMEI ya simu yako ??Wakuu naomben msahada jins ya kutrack simu ...shida so kuipata simu ni kwamba mwizi kaiba simu,pikipiki na pesa taslimu laki 4 ....
Kwaio naomb njinsi ya kufanya nimpate uyo mwizi
Simu iliyeibiwa ni tecno w3
Polisi wamenipiga tarehe awaeleweki ela yang imepotea tuu bureKama hukuweka pattern ama security yoyote omba mungu anaitumia bila kuflash ama kui format nenda playstore search device manager itakuja app inaitwa find device idownload kisha login na email ya simu iliobiwa na ujaribu kuitrack.
Alternative nenda polisi na imei.
Jaribu hio app niliyokutajia hapo juu. Ikishindikana huna ujanja ni polisi tu. Polisi ukiongea nao vizuri siku 1 tu anapatikana huyo aliekuibia.Polisi wamenipiga tarehe awaeleweki ela yang imepotea tuu bure
mkuu kama una njia yoyot ya kunisaidia nisaidie mkuu nakulipa mkuu pliz nakuomba
uwezi mpata uyo, najua umepanic bro ila jichange nunua vipyaShida sio simu
Shida nimpat mwiz aliondok na pikipik mpya asee daaah uckurupuke kutoa coment
polisi wanazingua na me natka kutrack laptop yngu ip address ninayo niongee nao vp au ka nawza pta msaad hmu utakua saf me ntalipaJaribu hio app niliyokutajia hapo juu. Ikishindikana huna ujanja ni polisi tu. Polisi ukiongea nao vizuri siku 1 tu anapatikana huyo aliekuibia.
Mkuu ulifanikiwa?Polisi wamenipiga tarehe awaeleweki ela yang imepotea tuu bure
mkuu kama una njia yoyot ya kunisaidia nisaidie mkuu nakulipa mkuu pliz nakuomba
No bdo xjapta msaad wowot mkuuMkuu ulifanikiwa?
Ip Ni ya network na sio ya laptop, network hio hio ukitumia kifaa chengine ip itakuwa moja.polisi wanazingua na me natka kutrack laptop yngu ip address ninayo niongee nao vp au ka nawza pta msaad hmu utakua saf me ntalipa
v2 ganunless uliset vitu kabla haijaibiwa.
Ant theftv2 gan