Ni kitu gani unangalia zaidi kwenye simu..?

Tanzania Tech

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2016
Posts
355
Reaction score
276
Habari wana JF, Leo nimekutana na ubishi kidogo kati ya mtanzania wa kawaida na mtanzania anajeua maswala ya teknolojia. Mtanzania wa kawaida alikuwa anasema yeye anachoangalia kwenye simu ni kuweza kufanya vile vyote vya muhimu kwake kama vile kupiga simu, kutumia internet, kuchukua picha vizuri na mambo mengine madogo madogo kama kuchat whatsapp, facebook, na mitandao mingine kama instagram.

Mtaalamu wa teknolojia yeye alikiwa anasema vitu vya muhimu ni kama vile simu isipate moto pale inapo tumika sana, iwe na uwezo wa kufungua programu nyingi kwa wakati mmoja, iwe na uwezo wa kudownload kwa haraka, battery idumu na chaji zaidi, iwe na kioo kikubwa na mambo mengine mengi ya ndani sana ambayo ukweli sikumbuki yote...

Hii ikanifanya nijiulize hivi ukweli kabisa vitu gani ni muhimu kwenye simu, na kwako wewe ni kitu gani unacho angalia zaidi kwenye simu na kwanini..?
 
Tuanze na wewe mleta mada ,huwa unaangalia vitu gani kwenye simu.
 
Lazima ilipuke
Simu iwe na Google na yenye uwezo wa kukaa na moto kwa muda mrefu (muda mwingi nasoma)

Kuna simu nataka mwishoni wa mwaka niagize yenye Mah 10000 ili nikome kukaa kwenye soketi.
 
Mi nadhani swali hili halina majibu sahihi kwani kwa kila mtu ni tofauti.
 
Perfomance [Processor + Ram + Battery
Security [Privacy,Protection]
Display
Camera
 
Habari wana JF, Leo nimekutana na ubishi kidogo kati ya mtanzania wa kawaida na mtanzania anajeua maswala ya teknolojia. Mtanzania wa kawaida alikuwa anasema yeye anachoangalia kwenye simu ni kuweza kufanya vile vyote vya muhimu kwake kama vile kupiga simu, kutumia internet, kuchukua picha vizuri na mambo mengine madogo madogo kama kuchat whatsapp, facebook, na mitandao mingine kama instagram.

Mtaalamu wa teknolojia yeye alikiwa anasema vitu vya muhimu ni kama vile simu isipate moto pale inapo tumika sana, iwe na uwezo wa kufungua programu nyingi kwa wakati mmoja, iwe na uwezo wa kudownload kwa haraka, battery idumu na chaji zaidi, iwe na kioo kikubwa na mambo mengine mengi ya ndani sana ambayo ukweli sikumbuki yote...

Hii ikanifanya nijiulize hivi ukweli kabisa vitu gani ni muhimu kwenye simu, na kwako wewe ni kitu gani unacho angalia zaidi kwenye simu na kwanini..?
Naangalia porno
 
Back
Top Bottom