Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Once again another must read though attachment ya EPUB na pia PDF imeshindikana kuattach
1 Reactions
10 Replies
1K Views
naombeni link ya Kudownload gta yenye mb kidogo na stolage kidogo then mtufahamishe jinsi ya kulidownload kwa faida ya watu wote hata wale wanaotembelea google kufahamu kujua jinsi ya kushusha gta...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
If you want to be a programmer and you don't know which languages to study or to start with, worry out here is the list of the top programming language. #7. C Programming C program is a mother...
1 Reactions
31 Replies
47K Views
Nataka kusolve optimization problem ila inagoma kila muda nikaamua kuanza na nyepesi kama hii hapa[emoji116]ila kila muda napata error. NOT ENOUGH INPUT ARGUMENTS. Shida inaweza kuwa gani?
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Husika na kichwa cha habari hapo juu kama uwezekano huo upo nina mpango nisisajili laini yangu niwe natumia simu tuu kwenye mambo yangu ya internet bila kuweka laini Naomba kujuzwa kama hili...
2 Reactions
35 Replies
7K Views
Natumia in ear earphone za sony nahitaji app nzuri zaid ya kuboost bass na stereo kias. Natumia bass booster lakin naamin humu kuna wakongwe zaid wa choices. Vitu vingi vya tech majib huwa napata...
1 Reactions
21 Replies
6K Views
Kwa wale watumiaji wa Barua pepe Kutoka Microsoft yaani hotmail na outlook tunafahamu uwepo wa OneDrive, hii ni online cloud storage kama jinsi ilivyo Google Drive, tofauti yake na google drive ni...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Hello, Nipo na tatizo amabalo nahitaji solution kwa haraka, Nahisi ni aina ya Virus ambao sijawafahamu, wao husababisha Apps za aina yoyote of the same Windows bits kuto run/rerun kwenye PC...
1 Reactions
30 Replies
3K Views
Mambo niaje wana, Ni matumaini yangu mnaendelea vizuri. Vyuma kitaaa vimekaza si mchezo na suluhisho sio kulia lia "oh vyuma vimekaza, tuna degree ila hakuna ajira, hatuna mitaji" and all sorts...
5 Reactions
14 Replies
5K Views
habari wadau ninatumia laptop but pia huwa ninatumia sana desk top yangu naweza kusema hii desktop ndo yenye vitu vyngu vingi sana vya kiofisi na ndo huwa napenda sana kuitumia. TATIZO jana wakati...
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Msaad mwenye kujua mfano adobe after effects cc 2019
0 Reactions
0 Replies
1K Views
NELSON GRAPHIX tunatoa huduma za Graphic design zenye ubora na kiwango cha juu, zifuatazo ni huduma tunazozitoa; •Poster Design •Flyer Design •Business Card •Logo Design •Banner Design •Product...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Wakuu natumia tecno spark 2 . sasa tangu juzi kila anayenipigia anakuta simu ipo busy , yaanj ni kama contacts zote zipo blocked silihali kwenye block list hakuna kitu. Nimejaribu setting kadhaa...
1 Reactions
3 Replies
948 Views
" THIS APP CAN'T RUN ON YOUR PC. To find a version for your pc,check with the software publisher.". Nmetoka kuamka na kuwasha pc nkachomkea flash,defender ikanipa warning ya kuscan nkapuuzia ila...
0 Reactions
42 Replies
4K Views
Habari wanajf, Nina hp probook 340 nikichomeka HDMI inaonesha chenga chenga nikiwa nacheza game pes 17 lakaini nikiangalia movie inaonesha fresh , shida nini ili nisolve tatizo hilii, manake...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Wakuu habari na poleni na majukumu. Nina PC lenovo inakua inaji restart mara kwa mara,hasa ninapokua nimeingia mtandaoni...inazma ghafla na kisha kuwaka tena na kunpa ujumbe VIDEO IDR FAILURE...
0 Reactions
0 Replies
621 Views
MegaPyne
Its always good to use free software over paid ones but the real fun is to use a licensed version of a paid software for free. The trick here is to actually make use of a promotional...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Hi everyone Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu,kwa ambaye ana Account ya Twitter yenye Followers wengi,kwa ambaye anayo please DM me.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
kwenye ulimwengu huu wa sayansi na teknolojia suala la Internet limekuwa chachu ya kurahisisha kazi, sehemu nyingi kwenye maofisi utasikia wanasema mtandao uko chini/internet imekata, hata kwenye...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
I'm in need of better app for downloading music . nlkuwa natumia “audio mack ” naona inazngua
0 Reactions
42 Replies
13K Views
Back
Top Bottom