HDMI chenga

HDMI chenga

ommy clear

JF-Expert Member
Joined
May 26, 2018
Posts
214
Reaction score
58
Habari wanajf, Nina hp probook 340 nikichomeka HDMI inaonesha chenga chenga nikiwa nacheza game pes 17 lakaini nikiangalia movie inaonesha fresh , shida nini ili nisolve tatizo hilii, manake nataka kucheza game kwenye TV kupitia HDMI
IMG_20190927_115320.jpeg
IMG_20190927_115259.jpeg
 
1. Jaribu kuset tv Kama primary display kwanza, utaenda kwenye display setting kubadili just search kwenye start screen, ukiset vizuri display ya laptop itazima na itaonekana kwenye tv tu.

2. Kabla huja launch game fungua setting za pes Kisha set resolution, jaribu Mambo haya
-eka game liwe windowed mode kwanza
-njia ya juu ikikubali unaweza eka full screen kwa resolution ya tv.
 
Ahsante chief nitakupa feedback

Nimeweka window mode lakini game linakua halina sauti ila imeonesha fresh kwenye TV nifanyaje kurudisha sauti?
 
Mkuu sidhani Kama windows mode Ina mahusiano na sauti, angalia kwenye setting za pes maybe Kuna kitu umegusa upande wa sauti.

Ukiplay vitu vyengine kwenye laptop sauti si inatoka vizuri tu?
 
Mkuu kati ya LG 32LB5800 na TCL 32 MODEL 6500 Ipi ni nzuri boss wangu?
 
Hio lG pia imetulia Sana Ina kioo Cha 1080P ambacho Ni rare kwenye tv za Bei rahisi. Sema sijaona support ya DVB T kwenye site Yao hivyo Kama unaihitaji hakikisha kwanza Kama inayo. Pia lg zinatumia Web os badala ya android, tofauti na Hapo hii lg naiona Kama Ni nzuri zaidi ya hio TCL.
 
Je kama ina DVB T nichukue boss?

Na weakness ya Web Os ikoje.
 
Je kama ina DVB T nichukue boss?

Na weakness ya Web Os ikoje.
Web os Ni Kama ios kwenye iPhone ipo closed, utaweza tumia internet, kuangalia YouTube, Netflix etc Ila sahau vitu Kama mobdro, na app nyengine za kuonesha vitu vya kulipia bure. Kuna namna ya kubypass kwa kuweka iptv links Ila mwisho wa siku Android TV itakuwa open zaidi.

Hio DVB T angalia mwenyewe Kama huihitaji hata Kama haipo unaweza ukanunua.
 
Nimeicheck naona haina
 
Ninatumia laptop aina ya hp envy x360 core i5 4210u nimeinstall game the rise of tom rider inacheza kwa shida( lagging) tatizo inaweza kuwa nini wakuu au kwasababu ya kikosa dedicated grahic card? Pia kipindi cha nyuma niliinstall game ya pes 2018 ikawa hivyo hivyo, nifanye nini ili niweze kucheza hizi bila lagging?
 
Unapunguza resolution mkuu, sometime inabidi ushuke Hadi chini ya 720p uweke resolution Kama 800x480.

Nimeicheki online Hapa kwenye tomb raider utaclick option kwenye ile launcher yake Kisha nenda resolution then eka 800x600 then eka iwe windowed mode then eka graphic low then eka resolution modifier iwe 20%. Ukifanya hivyo utacheza game kwa 640x480.
 
Mkuu sidhani Kama windows mode Ina mahusiano na sauti, angalia kwenye setting za pes maybe Kuna kitu umegusa upande wa sauti.

Ukiplay vitu vyengine kwenye laptop sauti si inatoka vizuri tu?
Yes mkuu
 
Unapunguza resolution mkuu, sometime inabidi ushuke Hadi chini ya 720p uweke resolution Kama 800x480.

Nimeicheki online Hapa kwenye tomb raider utaclick option kwenye ile launcher yake Kisha nenda resolution then eka 800x600 then eka iwe windowed mode then eka graphic low then eka resolution modifier iwe 20%. Ukifanya hivyo utacheza game kwa 640x480.
Sawa mkuu ngija nijaribu nitaleta feedback
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom