Programming Languages you should know so as to Get a job at big companies.

plan z

JF-Expert Member
Jun 10, 2019
1,071
2,000
If you want to be a programmer and you don't know which languages to study or to start with, worry out here is the list of the top programming language.


#7. C Programming

C program is a mother language, it begot others, it is the best language to start with for getting experience of running codes.


#6. Ruby

Ruby is the programming language from Japan, it become popular due to Ruby on Rails(Japan)


#5. Swift

Swift is the primary language for building iOS app, wheather for iPhone or iPad. Easy to get job since many companies need to build iOS app


#4. C++

C++ function as a block code that performs a particular task


#3. Java

Java is used to build Android apps. Many companies use Java frame works to create websites as well. It is more complex compared to other languages.


#2. Python

Python is popular. Many companies use it to create frameworks like Django and Flask.


#1. Java Script

Java Script has codes that runs on your browser like Chrome, Firefox and Bromite. Backend code runs on the server. Frontend code runs on the device(Phone or Laptop). It is simple and easy.


Click the link below to check also the video on youtube and please subscribe.

 

thesym

JF-Expert Member
Aug 15, 2012
3,507
2,000
Ukiwa haupo specific na nini unachotaka kufanya, utajikuta unasoma programming languages zote halafu unajikuta unajua vitu nusu nusu.

Mfano, Mimi binafsi C, Ruby, Swift hazina umuhimu kwangu kwa sasa, ila nikilazimika kuzijua nitajifunza.

Kwa kuwa umetarget mtu kuajiliwa kwenye makampuni analazimika kuzijua hizo lugha zote basi sawa.

Sio mbaya pia ukaweka mifano wa makampuni kwa uwelewa zaidi.
 

the great wizard

JF-Expert Member
Dec 21, 2015
1,463
2,000
Nikuulize hizo objective c na kina matlab unafanyia kazi gani?Mimi najua java ninatengenezea apps sasa nieleweshe najua matlab ila sijui naweza itumia vipi nipate hela
Matlab for mathworks
Objective c for ios apps development and osx
 

the great wizard

JF-Expert Member
Dec 21, 2015
1,463
2,000
Kazi za mathworks zinakuwaje mimi nintaka nitransform into money
Algorithm development,data analysis, exploration,visualization,IoT,Mechatronics
But for bongo haina soko sana, saivi ni bora kupiga Kotlin,java,swift,cpp,python. Kwa web dev php,js,css back end sql,.net(vb,c#),py,node js,java,php
 

co fm

JF-Expert Member
Jul 20, 2016
530
1,000
Algorithm development,data analysis, exploration,visualization,IoT,Mechatronics
But for bongo haina soko sana, saivi ni bora kupiga Kotlin,java,swift,cpp,python. Kwa web dev php,js,css back end sql,.net(vb,c#),py,node js,java,php

Okay hata mimi ninaona hivyo...Maana hata ukidevelop algorithm kibongo bongo haimgusi final user so inakuwa ngumu kupata pesa
 

co fm

JF-Expert Member
Jul 20, 2016
530
1,000
Tafuta sehemu wanafanya hizo kazi uombe kujiunga. Fanya at least 5 years ndio ukaanzishe chako

Wewe upo bongo Mkuu....Nipe hata directions nianzie wapi kutafuta watu wanaofanya hizi mambo maana vyuoni tumesoma vitu vingi vinahusiana na hivyo but at the end of the day havina applications moja kwa moja
 

msani

JF-Expert Member
Jun 13, 2011
1,786
2,000
Jamani najaribu kujifunza Python, nimefanya download ya Pycharm na pia Python 3.7 ila nikiangalia ninapoifungua naona ni kama imeandikwa 2.7 halafu inaniambia sina System Interpreter, je naweza kutatua vipi hili tatizo?
Nimeamua nianze kujifunza angalau nianze kufanya mwenyewe ninacho maana nimejitahidi kuanza kuwatumia watu lakini gharama wanazonipa sitaweza kuzipata kwa wakati lakini naweza kuanza kujifunza hata kwa miezi 12 na zaidi niweze kuwa huru kuanzisha kitu ili kama nitahitaji msaada basi gharama itapungua na nitajua nafanya nini.
Tusaidiane jamani
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom