TECNO Spark 2 inashindwa kupokea calls. msaada please

mvuv

JF-Expert Member
Feb 12, 2013
2,758
2,000
Wakuu natumia tecno spark 2 . sasa tangu juzi kila anayenipigia anakuta simu ipo busy , yaanj ni kama contacts zote zipo blocked silihali kwenye block list hakuna kitu.
Nimejaribu setting kadhaa nimeshindwa kutatua hili suala.

Nisaidiwe please.
 
ruby garnet

JF-Expert Member
Apr 10, 2017
2,604
2,000
Wakuu natumia tecno spark 2 . sasa tangu juzi kila anayenipigia anakuta simu ipo busy , yaanj ni kama contacts zote zipo blocked silihali kwenye block list hakuna kitu.
Nimejaribu setting kadhaa nimeshindwa kutatua hili suala.

Nisaidiwe please.
Refactory reset mkuu diyo Dawa yake
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom