Wataalamu wa MATLAB MSAADA.

Wataalamu wa MATLAB MSAADA.

ze farmer

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
922
Reaction score
1,822
Nataka kusolve optimization problem ila inagoma kila muda nikaamua kuanza na nyepesi kama hii hapa[emoji116]ila kila muda napata error. NOT ENOUGH INPUT ARGUMENTS. Shida inaweza kuwa gani?
1569678750278.jpeg
1569678882376.jpeg
 
create/save files 2 za .m , moja iite executed.m then pachika

Code:
function F = executed(x,y)
a = 10;
b = 3;
c = 2;

F(1) = (a*x(1))+(b*x(2)*x(2))-b;
F(2) = (x(1)*x(2))-(exp(x(2)))-c;




x(1) inasimama badala ya X na x(2) inasimamama badala ya Y


then create/save file lingine .m liite executer.m then pachika

Code:
fun = @ executed;   %  jina la file na juu hapo
x0 = [0,0];
x = fsolve(fun,x0)


then kwenye Command Window


Code:
>> executer


jibu:

x =
-1.0144 -2.0932
 
Nataka kusolve optimization problem ila inagoma kila muda nikaamua kuanza na nyepesi kama hii hapa[emoji116]ila kila muda napata error. NOT ENOUGH INPUT ARGUMENTS. Shida inaweza kuwa gani? View attachment 1218083View attachment 1218086

Mkuu upo bongo?...Nimesoma hiyo matlab as computing using mathematical software lakini toka nimalize chuo sijawah Kuiapply..japo ninatamani kuiapply on real life
 
create/save files 2 za .m , moja iite executed.m then pachika

Code:
function F = executed(x,y)
a = 10;
b = 3;
c = 2;

F(1) = (a*x(1))+(b*x(2)*x(2))-b;
F(2) = (x(1)*x(2))-(exp(x(2)))-c;




x(1) inasimama badala ya X na x(2) inasimamama badala ya Y


then create/save file lingine .m liite executer.m then pachika

Code:
fun = @ executed; % jina la file na juu hapo
x0 = [0,0];
x = fsolve(fun,x0)


then kwenye Command Window


Code:
>> executer


jibu:

x =
-1.0144 -2.0932
Thanks mkuu imefanya kazi. Wewe nakula title ya 'Genius' from now.
 
Mkuu upo bongo?...Nimesoma hiyo matlab as computing using mathematical software lakini toka nimalize chuo sijawah Kuiapply..japo ninatamani kuiapply on real life
Mkuu hii tunatumia sana kuwaletea maji huko kwenu, gravity, cost, speed, volume, loss, n. k.
 
create/save files 2 za .m , moja iite executed.m then pachika

Code:
function F = executed(x,y)
a = 10;
b = 3;
c = 2;

F(1) = (a*x(1))+(b*x(2)*x(2))-b;
F(2) = (x(1)*x(2))-(exp(x(2)))-c;




x(1) inasimama badala ya X na x(2) inasimamama badala ya Y


then create/save file lingine .m liite executer.m then pachika

Code:
fun = @ executed;   %  jina la file na juu hapo
x0 = [0,0];
x = fsolve(fun,x0)


then kwenye Command Window


Code:
>> executer


jibu:

x =
-1.0144 -2.0932

Safi sana...


Cc: mahondaw
 
Back
Top Bottom