msaada mwadau kwenye computer yangu

jerryempire

JF-Expert Member
Jan 4, 2017
5,128
8,648
habari wadau
ninatumia laptop but pia huwa ninatumia sana desk top yangu naweza kusema hii desktop ndo yenye vitu vyngu vingi sana vya kiofisi na ndo huwa napenda sana kuitumia.
TATIZO
jana wakati naitumia desktop yangu mara ghafla tu ikazima lakini taa ya power inawaka lakini fen haizunguki toka jana mpka leo kila nikichomoa waya na kuurudsha inawaka taa tu but fan haizunguki na haiwaki je nini tatizo na solution yake.
ahsanteni
 
Unatakiwa urekodi hizo taa zinavyo Waka Waka, rangi zake na idadi. Hapo computer inakueleza tatizo.
toka jana haikuwaka but now naona nmechomeka imewaka first ilikuwa inawaka tu ile taa ya bluu yani inameta meta kama indikator tu bas but ilikuwa haiwaki
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom