Coco
JF-Expert Member
- May 13, 2019
- 430
- 1,577
Hello,
Nipo na tatizo amabalo nahitaji solution kwa haraka,
Nahisi ni aina ya Virus ambao sijawafahamu, wao husababisha Apps za aina yoyote of the same Windows bits kuto run/rerun kwenye PC.
Nasema ni Virus sababu huambukiza kutoka PC moja kwenda PC nyingine. Nipo na Computer zaidi ya sita (6) zenye ku- run Windows 10 zenye tatizo hili na sijapata solution ya haraka, iwe online ama vinginevyo.
Mwenye aliwahi ku-solve tatizo hili tafadhali share nasi.
Natanguliza Shukrani.