App nzuri zaidi kwa bass ya in ear earphone ni ipi?

Lububi

JF-Expert Member
May 3, 2013
2,121
3,732
Natumia in ear earphone za sony nahitaji app nzuri zaid ya kuboost bass na stereo kias. Natumia bass booster lakin naamin humu kuna wakongwe zaid wa choices. Vitu vingi vya tech majib huwa napata humu.
 
Jaribu power amp play store ila ni trial na ina expire after two weeks kutaka kupata app yenyewe inabidi ununue..just try uone how it works
 
Download poweramp trial playstore,halafu leta mrejesho hapa..Usisahau pia kucheza na equilizer..
 
Mkuu chukua jet audio plus. Tangu nianze kutumia smartphone ndo app huwa natumua ina features nyingi sana na nzuri hizo za bass ndo kibao utashindwa wewe. Na ina hadi cross fading

Ukitaka kuamini ina rating nyingi kuliko app zote za kuplay mziki.
 
Je inacheza video? Miziki yangu yote kwenye sim na flash ni videos
 
Mkuu chukua jet audio plus. Tangu nianze kutumia smartphone ndo app huwa natumua ina features nyingi sana na nzuri hizo za bass ndo kibao utashindwa wewe. Na ina hadi cross fading

Ukitaka kuamini ina rating nyingi kuliko app zote za kuplay mziki.
Yaani umenikumbusha ile JetAudio ya kwenye PC miaka ya nyuma 2000's . jetAudio ya PC ilikuwa na equalizer matata sana , bass na trebble saafi halafu CrossFading nzuri kweli.
 
Mbona mpaka sasa mimi naitumia kwenye pc, au wewe una ipi nyingine nzuri.
 
Funga Viper kisha ww tumia hata player ya simu tu au pia james DSP itumie na player hiyo hiyo ya simu...utapata kitu hujawah kupata before
Screenshot_20190928-111510.jpeg
 
Back
Top Bottom