Husika na kichwa cha habari hapo juu kama uwezekano huo upo nina mpango nisisajili laini yangu niwe natumia simu tuu kwenye mambo yangu ya internet bila kuweka laini
Naomba kujuzwa kama hili linawezekana
Sasa wifi si ndo internet yenyewe???? Kama unataka simu iwe na internet bila line wala wifi itakuwa Umevuta bhangii kijana...Mi nataka internet kama linawezekana
Hilo la wifi najua mi nasemea internet ya kama hii ya 4g au 3g
Kidogo wewe umenielewa na wewe nimekuelewa barikiwa sanaInternet inatoka kwa internet provider. Ili upate hio internet ni lazima uwe na source, ambayo ni chip sasa au Wi-Fi which means kwenye hio source ya Wi-Fi lazima kuwe kuna chip.
Sasa hakuna namna utapata internet bila kuwa na chip, Mkuu.
Kwa ufupi kutumia intaneti kwenye simu bila kuweka chip kwenye simu inawezekana ila intaneti bila chip kabisa ni hadithi za abunuwasi. Labda kama kuna kitu sijui, acha wataalamu waje.
Nimekupata mkubwa naona baadhi ndio mmenielewaJapo Swali Halipo Direct Sana
Mkuu inawezekana kutumia simu upande wa Internet bila kuweka laini kwenye simu.
Tumia Wi-fi Kuunganisha simu yako ambayo haina laini Kutoka kwenye chanzo ya mtu mwingine au Kifaa kingine[hotspots tethering] vinaweza kuwa simu yenye Internet au Pc iliyochomekwa modem ambayo ina acess na internet
Japo hukuwa direct kwenye Swali lako
Niko huko mbuchi au island mbudya