MSAADA:PC Lenovo (OS:WINDOWS 10 PRO) KUJI-RESTART KILA MARA.

adam junior93

JF-Expert Member
Mar 14, 2015
205
252
Wakuu habari na poleni na majukumu.
Nina PC lenovo inakua inaji restart mara kwa mara,hasa ninapokua nimeingia mtandaoni...inazma ghafla na kisha kuwaka tena na kunpa ujumbe VIDEO IDR FAILURE.
Msaada wenu wa namna ya kurekebsha hili tatzo.
 
Back
Top Bottom