mayowela
JF-Expert Member
- Nov 2, 2014
- 2,124
- 1,744
kwenye ulimwengu huu wa sayansi na teknolojia suala la Internet limekuwa chachu ya kurahisisha kazi,
sehemu nyingi kwenye maofisi utasikia wanasema mtandao uko chini/internet imekata, hata kwenye simu za mkononi tunatumia internet kwa mfumo wa wayalesi au kifurushi, na kifurushi kikiisha huwezi tena kuingia kwenye kurasa ulizokuwa unaperuzi,
maswali ninayojiulizaga kila siku,
Ni kina nani wanauza intaneti..?
mitandao ya simu inanunua kwa akina nani hiyo intaneti..?
Ni nani anapanga vipimo vya intaneti na bei zake..?
kwa nini mitandao mingine ina intaneti ya bei nafuu na ingine ni ghali..?
Mnisaidie mi ni mshamba