Tech, Gadgets & Science Forum

Technology based discussions. Computer, Science & Engineering Technology including gadgets and PC Gaming Discussions

On JF:

Kuna matumizi mengi sana ya kamera ya simu janja zetu ukiachana na yale tuliyo yazoea ya kupiga picha tu Unajua kama kamera ya simu janja yako inaweza ikawa na matumizi lukuki ambayo kwa namna...
10 Reactions
16 Replies
7K Views
Kwanza wakuu nitoe shukrani kwa kujali na kusoma thread yangu.Shida niliyonayo ni napingwa Ban nikitumia whsap yoyote ile hasahasa nkifungua group na ku add watu, kazi nayifanya kwenye whatsap...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Nimeuziwa IPad ambayo niliaminishwa kuwa ni mpya lakini baada ya kuichukua nikagundua ina ICLOUD LOCK,Naomba msaada wenu wadau Niko tayari kwa atakaweza kunisaidia.
0 Reactions
32 Replies
4K Views
Habarini wakuu! Naomba msaada wenu wa program tajwa hapo juu (VIRTUAL DJ) mniwekee hapa ili nami niweze kuipakua kwani nilikuwa nayo zamani kidogo kwa PC yangu lakini ilijifuta kwa bahati mbaya...
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Kuna jamaa ametoka China amekuja na hiyo simu tajwa hapo juu VIVO Y93 anataka nimpe hela but mi sio mtaalamu kabisa wa simu wakuu. Vipi ubora wa hii simu wataalamu......
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Pengine si wewe mwenye matumizi mabaya na bando lako ila unajikuta unatumia bando kubwa zaidi kuliko matumizi yako madogo ya mtandao. Hili ni suala la kawaida kwenye simu za smartphone. Kuanzia...
13 Reactions
21 Replies
12K Views
Watumiaji wengi wa Android suala la Ads katika Apps linatuchukiza sana, hapa nitaeleza njia ya kuondoa Ads.Mahitaji: 1. Simu ya Android iliyokwisha Kurutiwa. 2. Lucky Patcher App...
1 Reactions
5 Replies
4K Views
Hope wote ni wazima.. Kuna mdau alileta Uzi wa mambo ya programming nilivutiwa sana na Uzi wake na kuna kitabu nilikidownload kwa ajili ya kujifunza kinaitwa "computer programming for kids and...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Tuoneshane our downloads (kwenye mobile gadgets only), what are u downloading/have downloaded so far? Naanza na mimi personally...
0 Reactions
1 Replies
789 Views
Habari wakuu, Kuna VF695 hapa kila nikiiwasha inaniandikia maneno yafuatayo; 1.unfortunately android system has stopped Kila program nitakayo fungua inanianfikia kwa mfano; 2.unfortunately...
0 Reactions
1 Replies
815 Views
Habari wakuu, Binafsi siamini katika computer classes zitolewazo mtaani, hivyo basi kuna Mdogo wangu anataka kuanza kujifunza computer mtandaoni, naomba kujua; Je itawezekana kujifunza yeye...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Habari wana-JF leo nimeleta Accounts premium za NordVPN zina subscription ya miaka mitatu, zote zita-expire mwaka 2022. Utapata access ya nchi 58 mojawapo ikiwa ni South Africa nchi pekee kutoka...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
naomba msaada wa kununua bando za tigo hivi unaandikaje na unatuma kwenda namba ngapi
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Wadau, Nimekuwa napata kera ya hali ya juu kwenye simu yangu inayosababishwa na google ads yani nikiwasha data tu matangazo yanaanza kutokea. Kuna banners ads ambayo hutokea kwa juu na kuchukua...
1 Reactions
10 Replies
4K Views
Natumaini wadau hamjambo- wengine tupo nnje ya nchi na hua tunatumia sana azam application kutizama program za kiswahili pia na habari za nyumbani ila kwa sasa tunaona matangazo tu leo siku kama...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Amani ya Mola iwe juu yenu wote. Wakuu mi naomba kuuliza swali tajwa haoo juu. Katika hii biashara ya kumiliki na kuendesha Website,Bloggu au App tuseme labda yenye maudhui yanayokubalika kwa...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Habari za majukumu wadau. Naombeni wataalamu wa video editing mnisaidie kwenye hii app ya kinemaster. Namna ya kuitoa water mark yake. Natanguliza shukrani
2 Reactions
6 Replies
3K Views
Msaada wenu tafadhali... naitaji acc tajwa hapo juu non-hosted mwenye nayo ani pm au anicheck 0713543555 niko seriosly
0 Reactions
1 Replies
952 Views
It's not that hard kama wengi wanavyodhania, sina muda wa kuweka nyama kwenye post let me get straight on the objective, 1.DOMAIN (elfu 3 tu) 1.Jisajili godaddy 2.tafuta domain inayokupendeza ya...
2 Reactions
16 Replies
4K Views
Nahitaji ikinunua AdSense acc DM me plz
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Back
Top Bottom