Habarini wakubwa!
Naomba msaada wa namna ya kuboost tangazo kwenye page ya Facebook. Siku nyingi nimekuwa nikijaribu kwa kufuata hatua zote lakini naona jitihada zangu zinagonga mwamba.
Naombeni...
Pole na kazi.
Kama developer wako wa app siyo mwenye hii namba +919780110865 basi mshukuru Mungu.
kama imepita kwa huyu dada na ina fb ads basi itafungiwa Interstitial ads kwanza baadaye itapigwa...
Kampuni hiyo ya kichina imeweza kuipa simu yake uwezo mkubwa wa betri kutunza chaji zaidi. Betri hiyo yenye uwezo wa 10,010mAh ambayo kwa matumizi inaweza kukaa siku 4 mpaka sita bila kuchaji...
Wataalam wa humu ndani naomba mtujuze ni yapi tunapaswa kuzingatia tunapotaka kuagiza simu za mitumba (pre-owned) zilizotumia Marekani na Ulaya na hata kwengineko.
Nilisikia tetesi kwamba...
Habari wakuu,
Naomba kuuliza namna ya kufanya Facebook live streaming au broadcasting kwa kutumia Camera ni vitu gani vinavyohitajika ili kufanikisha hilo?
Nisaidieni wataalamu.
Wakuu simu yangu hii nimeitumia takribani mwaka mmoja na miezi mitatu. Ni Samsung A8 band LTE ya single simcard.
Week moja iliyopita nilikuwa nimelala nimeicha mezani sasa ni kama kuna mtu...
Wazee,
Nimedownload firmware ya simu yangu na kuiflash kwa miracle box lakini imegoma kuwaka kabisa kheri wakati sijaflash
baada ya kuflash nimegundua files ni za Tecno Cx Air lakini mwishoni...
Juzi nikawa naangalia camera ya Infinix hot 7 camera mbili nikawa nafikiria inakuwaje camera mbili zinfunction at the same time nikasema labda camera moja ni ya beauty nyingine in ya portrait au...
Salamu kwenu wote.
Jina langu ni Jeremiah Rotich, kutoka nchi ya Kenya. Ningependa kuchukua fursa hii kuwatangazia kuwa nimeanzisha shirika/ mradi linalowania kutengeneza Mfumo wa Matumizi...
Habari wadau wa jukwaa hili pendwa.
Nimekuja kwenu kuomba msaada ni namna gani naweza kurudishia files zangu zilizokuwa affected na virus aitwae helroset. Huyu virus aliingia kwa njia mtandao...
Hacker Axi0mX siku ya leo ameweza kuachia Chekra1n, tool ambayo ina uwezo wa kujailbreak simu za iPhone pamoja na ipad ambazo zina run iOS 13.
Kwa wasiofahamu, maana ya kujailbreak ni kuondoa...
Hi to everybody,
Why cant my friends see my post? I have shared post in the past and have not had any issues but now my friends cant see most of my posts.
I have checked the privacy setting on...
Jamanie ushamba mzigo ,mimi mpaka sasa sijajua tofauti iliyopo kati ya f book lite na f book messenger.naamini humu ndani huwezi toka kapa japo watatokea wa kunipooonda, ila kwangu mimi sitajali...
Natafuta PC (Laptop) kwa ajili ya kijana anaeanza masomo IT (Certificate-Diploma). Nafikiria kuja Dar kwa ajili hiyo. Naomba ushauri wa maduka gani na wapi ambapo naweza kupata PC nzuri cha msingi...