Msaada: Nimeflash simu yangu Tecno Cx Air imegoma kuwaka

anonymousafrica

JF-Expert Member
Aug 24, 2016
611
639
Wazee,

Nimedownload firmware ya simu yangu na kuiflash kwa miracle box lakini imegoma kuwaka kabisa kheri wakati sijaflash
baada ya kuflash nimegundua files ni za Tecno Cx Air lakini mwishoni kwenye id number zinatofautiana, je hii inaweza kuwa sababu? Id yangu ni id:CXAir-H3713A-N-171010V131.

Nilisahau ku backup, ila niliread phone na data zangu ni hizi

Connecting to Phone,Wait..
Connected to Phone.
CPU: MT6735 SW:0000 Ver: CA00
Downloading Boot8 ...
EMMC Size: 0x0390000000
Flash Type: EMMC
INT/EXT RAM Size: 0x20000/0x80000000
Reading infr(EMMC)...
BT_ADDR:F03D03B44BB6
WIFI MAC:F03D03B2C516
IMEI1:
IMEI2:
id:CXAir-H3713A-N-171010V131
version:7.0
model:TECNO CX Air
brand:TECNO
manufacturer:TECNO
Done.

Naomba msaada wako.
 
anonymousafrica,
Pole sana. This seems to be a problem with Tecno's. Nami ya kwangu hivyo hivyo, nimeflash, imekataa kuwaka! Fundi inaonekana kashindwa, utaalamu wake umeishia hapo. Ngoja tuone kama tutapata msaada maana JF ya sasa siyo ya zamani ambapo sasa hivi ungelikuwa umepata solution humu humu.
 
Pole Sana Mkuu. Tatizo lako umeflash simu na wrong ROM. Kama ulifanikiwa vizuri kusoma info umeona Firmware Version ya simu yako hapo kwenye ID ungeitafuta hiyo hiyo.

Kwa uzoefu wangu: Siku nyingine usifanye operation ya kubadili rom kwa kutumia miracle crack

Solution: Tumia factory ROM uflash kwa kutumia SP Flash Tool ingawaje sina uhakika kama uliiacha salama bootloader.
 
Ahsante kaka, kabla sijadownload naona hili file linasoma ID tofauti na yangu.

Yangu ni
CPU: MT6735 SW:0000 Ver: CA00
id:CXAir-H3713A-N-171010V131

Je, haitaleta shida?
 
anonymousafrica, Jifunze kubackup Firmware before kuflash simu ili kuepukana na matatizo kama hayo.
1.Tafuta Build number ya simu husika.
2.Tumia SP Flash tools
 
Elon SpaceX, Hapo tunatumia direct pin out za KOLO, unafanya identification ya PIN kwenye motherboard then unaisoma na unaiflash ni safety method kama tu ukiwa na wire na kugundua PIN sahihi. Wire zinapatikana kwenye boxes za miracle na zinauzwa Ali Express.
 
Kete Ngumu, Means Samsung hazina matatizo kama hayo? Tecno yangu K9 nayo imekataa kuwaka baada ya kuflash, shida tupu. Hata ikiwaka, sidhani kama itarudia hali yake ya kufanya vizuri. Ni kutupa na kujipanga kununua nyingine.
 
Back
Top Bottom