• Mpendwa mteja, tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara na kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi ya #CORONAVIRUS

Msaada wadau, virus aina heroset ameminya files

Kifimboplayer

Kifimboplayer

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2013
Messages
1,491
Points
1,500
Kifimboplayer

Kifimboplayer

JF-Expert Member
Joined Nov 24, 2013
1,491 1,500
Habari wadau wa jukwaa hili pendwa.

Nimekuja kwenu kuomba msaada ni namna gani naweza kurudishia files zangu zilizokuwa affected na virus aitwae helroset. Huyu virus aliingia kwa njia mtandao nilipokuwa na download program.

Mwanzo nilichukulia ni tatizo la kawaida nikidhani naweza kupiga window na tatizo litakwisha kwa sababu files nimetunza (partition) local disk d, lakini hata baada kupiga Windows nyingine tatizo liko palepale kilichobadilika ni icon na file hazifunguki.

Ni imani yangu kwamba kupitia jukwaa hili kuna wataalam walishakutana na tatizo kama hili, kupitia kwao naomba msaada.
 
mathsjery

mathsjery

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2015
Messages
1,012
Points
1,500
mathsjery

mathsjery

JF-Expert Member
Joined Sep 26, 2015
1,012 1,500

Hawa heroset ni cryptovirus wanapoaffect file hawaondolewi na antivirus kwani antivirus haidecrypt file na sio kazi yake

Una option ifuatayo.
Tumia decryption tool kudecrypt file zako ambazo ni encrypted hii unaweza nunua maana za free version Zina mapungufu hasa kwenye file zilizo affectiwa na cryptovirus walio tengenezwa na algorithm kubwa kama rsa au aes.
Test hii tool unaweza download na Kisha extract then install Kisha scan PC yako na ita decrypt file zote zitasoma Kama Kawa but note Kama ikishindikana Kufanya hivyo kwa 100% basi nunua full version au tafuta cracked
Quick heal
https://www.quickheal.co.in/documents/tools/QuickHeal_Decryption_Tool.zipNote:
ukipiga window bila kuweka partition yoyote kwa mara ya kwanza yaani full disk au unaformat yote utawaondoa na unaweza tengeneza partition mpya.
Ila file zako huzipati Tena hata ukitumia recovery software
Issue ni kuwa makini unapodownload file

Pia jaribu kuangalia ile file ulodownload utakuta lina extension ya herosite.
 
@mathsjery nimefanikiwa kuidownload ila iko zipped
nitumie program gani kuinstall

msaada tafadhari
 
jay311

jay311

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2012
Messages
2,892
Points
2,000
jay311

jay311

JF-Expert Member
Joined Oct 21, 2012
2,892 2,000
Hata mm pia PC yangu ilishambuliwa na .norvas mwaka huu nimejaribu njia zote kwa watu wote nimeshindwa... Pia niliandika uzi huku ila sikupata msaada. Hapo ishu ni kufuta yote na kuanza upya
 
mathsjery

mathsjery

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2015
Messages
1,012
Points
1,500
mathsjery

mathsjery

JF-Expert Member
Joined Sep 26, 2015
1,012 1,500
Hata mm pia PC yangu ilishambuliwa na .norvas mwaka huu nimejaribu njia zote kwa watu wote nimeshindwa... Pia niliandika uzi huku ila sikupata msaada. Hapo ishu ni kufuta yote na kuanza upya
Si kweli, hiyo ni Kama huwezi afford bei ya decryption software/tool pia ukiwa na ujuzi mzuri wa kutumia tool kufanya decryption Ni simple
 
mathsjery

mathsjery

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2015
Messages
1,012
Points
1,500
mathsjery

mathsjery

JF-Expert Member
Joined Sep 26, 2015
1,012 1,500
decryption software ni 1000 $ ,it is unfair price
Ni kweli but nimetoa software hapo kwa link baadae ntatuma complete decryption tool haya ma ransomware yanatoka simple mno anaweza jaribu McAfee ransomware decryption tool iko poa lakini atatakiwa Kufanya some command mbali na ile ya kwanza hata hivyo unaweza ipata kwenye site ya McAfee maana mambo Ni mengi
 
jay311

jay311

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2012
Messages
2,892
Points
2,000
jay311

jay311

JF-Expert Member
Joined Oct 21, 2012
2,892 2,000
Ni kweli but nimetoa software hapo kwa link baadae ntatuma complete decryption tool haya ma ransomware yanatoka simple mno anaweza jaribu McAfee ransomware decryption tool iko poa lakini atatakiwa Kufanya some command mbali na ile ya kwanza hata hivyo unaweza ipata kwenye site ya McAfee maana mambo Ni mengi

Mkuu mbona kama unaelekea elekea aise,umeanza kunipa hope,hizo software bado sijazi access hapa maana natumia sim vp ni za kulipia online ? Na vipi accuracy yake katika kufanya kazi isije kuwa 50/50
 
mathsjery

mathsjery

JF-Expert Member
Joined
Sep 26, 2015
Messages
1,012
Points
1,500
mathsjery

mathsjery

JF-Expert Member
Joined Sep 26, 2015
1,012 1,500
Mkuu mbona kama unaelekea elekea aise,umeanza kunipa hope,hizo software bado sijazi access hapa maana natumia sim vp ni za kulipia online ? Na vipi accuracy yake katika kufanya kazi isije kuwa 50/50
Ndio zipo za kulipia ila hiyo ya McAfee Ni free, kuhusu accuracy iko fresh kwani Kama haukuzifuta data zilizo affectiwa all will be decrypted through scanning but also hii McAfee kuwa mjuzi kidogo wa command.
Mbali na ile ya quick heal
 
Forum statistics

Threads 1,405,223
Members 531,947
Posts 34,481,280
Top