Ipi nzuri kuitumia kati ya facebook messenger, na facebook lite ?.

Sadiki Abdallah

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2016
Posts
885
Reaction score
583
Jamanie ushamba mzigo ,mimi mpaka sasa sijajua tofauti iliyopo kati ya f book lite na f book messenger.naamini humu ndani huwezi toka kapa japo watatokea wa kunipooonda, ila kwangu mimi sitajali ,najuwa hiyo itakuwa sehemu ya gharama ya elimu nitakayo pata.
 
Labda ulinganishe Facebok na Facebook lite, Messenger na messenger lite.

Kwa upande wa Facebook na Facebook lite zote zinakazi moja tu tofauti yake ni ubora, Facebook feature zake zina ubora wa hali ya juu kuliko facebook lite ndio maana hata kwenye space facebook inakula nafasi kubwa kuliko lite, facebook inaweza kuwa na ukubwa wa mb 50 wakati unadownload lakini ukilogin acc tu muda mfupi utaikuta ina-mb 250+ wakati lite unawezakuipakua ikiwa na mb 3, mpaka kuingiza data zako ikaishia mb 15+ tu.

Kadhalika messenger na messenger lite matumizi yake yanafanana na tofauti zake ni kama ndugu zake hapo juu.

Ila cha kuongezea labda tofauti ya facebook na messenger ni kwamba messenger ni kama inbox ya facebook.
 
asante
 
Hivyo kwa wale wenye simu zenye uwezo mdogo/RAM ndogo basi ni vyema wakatumia facebook lite & messenger lite kwa ajili ya kusave space japo utakuwa mhanga wa kupata quality mbovu..
 
Labda ulinganishe Facebok na Facebook lite, Messenger na messenger lite.

Kwa upande wa Facebook na Facebook lite zote zinakazi moja tu tofauti yake ni ubora, Facebook feature zake zina ubora wa hali ya juu kuliko facebook lite ndio maana hata kwenye space facebook inakula nafasi kubwa kuliko lite, facebook inaweza kuwa na ukubwa wa mb 50 wakati unadownload lakini ukilogin acc tu muda mfupi utaikuta ina-mb 250+ wakati lite unawezakuipakua ikiwa na mb 3, mpaka kuingiza data zako ikaishia mb 15+ tu.

Kadhalika messenger na messenger lite matumizi yake yanafanana na tofauti zake ni kama ndugu zake hapo juu.

Ila cha kuongezea labda tofauti ya facebook na messenger ni kwamba messenger ni kama inbox ya facebook.
Shukran kwa elimu hiyo.
 
asante mjomba

Back
Top Bottom