Samsung A8 imegoma kuwaka na chaji haiingizi

Orketeemi

JF-Expert Member
Feb 12, 2013
4,430
10,407
Wakuu simu yangu hii nimeitumia takribani mwaka mmoja na miezi mitatu. Ni Samsung A8 band LTE ya single simcard.

Week moja iliyopita nilikuwa nimelala nimeicha mezani sasa ni kama kuna mtu alikuwa anachezea ila kujua ni nani na alichezeaje imekuwa changamoto.

Nilivyoamka simu ikawa haiwaki wala haiingizi chaji. Nilipeleka kwa fundi lakini baada ya siku mbili akasema ameishindwa.

Je mafundi na wataalamu wa humu mna ushauri gani?

IMG_20191112_220651.jpg
 
Back
Top Bottom